ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Hivi hizi chuki dhidi ya waisilam zilizo jaa vifuani mwenu huwa zinatokana na nini hasa?Waislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!
Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Mbona huku mitaani watu tunaishi vizuri kwa ushirikiano na upendo bila kujali dini zetu ?
Cha kushangaza zaidi waweza kuta una ndugu wa damu waisilam dah.