jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Chimbo za magaidi hizoTawi la Rufiji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chimbo za magaidi hizoTawi la Rufiji?
Wewe mama shetani siyo kwamba anaogopa damu ya YESU KRISTOWalikwambia wana dhuda ya "wateja"?
Anayeogopa neno Waislam, (Muslim, Uislam, Islam huyo ni shetani tu.
Tumshukuru hayati Rais ,, BWM, Benjamin William Mkapa, kuwanyang'anya shirika la Tanesco chuo Chao pale Msanvu Morogoro na kuwapa waislam bure chuo kilichojengwa kwa Kodi na bill za umeme za watanzania wote mpaka wagalatia,,, na Mkapa alikuwa mgalatia safi ila hakuwa mdini.Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).
NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
🤣🤣🤣🤣🤣 Hata vyuo vya kule Iran, Indonesia etc navyo ni hivo hivo?Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Hiki ni chuo nilichopatia elimu yangu ya juu.Ila nilisota sana pale.Sitasahau.Sharia ndo wamebobea. Ila kuna Islamic studies na Education pia
Mbona mimi nilisoma hapo,na nipo nipo katika mfumo? Wanaendaga wapi...hujui..poleKumbe hicho chuo bado kipo, mbona kwenye mifumo ua ajira hatuwaoni watu waliosoma hicho chuo, wanaendaga wapi?
Mpe Aya mla kitimoto huyoMbona mimi nilisoma hapo,na nipo nipo katika mfumo? Wanaendaga wapi...hujui..pole
Duuu we unajua kukera 🤣🤣🤣🤣Waislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!
Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Daah....hiz comments hizi!!!Waislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!
Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Ndiyo hiki Chuo Kikuu ambacho wanafunzi wake wanachapwa fimbo kama wanafunzi wa Primary?Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).
NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
LegacyMdiyo hiki Chuo Kikuu ambacho wanafunzi wake wanachapwa fimbo kama wanafunzi wa Primary?
Hakuna islamic banking kwenye Uislamu ni wizi tu kma bank nyengineNaona huzioni kika benki duniani zinapapsarikia Islamic Banking.
Usidanganyike.Hakuna islamic banking kwenye Uislamu ni wizi tu kma bank nyengine
Wewe bikira wa 72, wenzio Masunni huko washerehekea kuondoka kwa Mshia Nasrallah wewe je?
View: https://x.com/NiohBerg/status/1840005094609219957
Tuliwaambia mkijichanganya tu, mnafutiliwa mbali mkabisha
Weye kafiri tu lazima uwe na chuki na waislamWaislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!
Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Mbona porojo nyingi we ajuza lete ushahidi wa islamic banking tu kma kweli ww umesomaUsidanganyike.
. Uislam upo kwenye maisha yetu yote ya kila siku.
Uislam ni nfumo kamili wa naisha. Usidanganyike kuwa sijui hapa kuna Uislam hapa hakuna.
Ambavyi vinakatazwa kwenye Uislam vipo wazi kabisa, huwezi wewe kuleta makatazo mapya, labda ukawadanganye kijijini kwenu huko, kama hakuna wasomi.
Nakupa elimu unaiita porojo?Mbona porojo nyingi we ajuza lete ushahidi wa islamic banking tu kma kweli ww umesoma
Nakuoa ndo nn sasa embu jifunze kuandika vizuri kwanza miwani ishaisha lens iyo we ajuzaWewe. Unaekataza ndiyobukete ushahudibwa
Nakuoa elinu unaiita porojo?
Mimi Muislam, ushahidi wangu ninkuwa sikatazinkitu ambachonhakijakatazwa.
Wewe unaekataza ndiyo leta ushahidi.
Mkuu inaonekana una chuki sana na Uislamu, nini shida?Mxiuuuuu! Tangu lini taasisi ya elimu inayoendeshwa na waislam ikawa center of excellence?? Labda iwe center for terrorists.