Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Serikali haina dini, iache kuendekeza watu wajingaHawakuwa na chuo, wakalalamika. Wakati wagalatia wanajenga vyuo, wao wanajenga misikiti, Mkapa akaamua kuingia serikalini akalitia hasara Shirika la Tanesco akawapora chuo kilichokuwa kinatoa utaalam wa umeme, akawapa bure.