Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

Hivi hizi chuki dhidi ya waisilam zilizo jaa vifuani mwenu huwa zinatokana na nini hasa?
Mbona huku mitaani watu tunaishi vizuri kwa ushirikiano na upendo bila kujali dini zetu ?
Cha kushangaza zaidi waweza kuta una ndugu wa damu waisilam dah.
Quran haiongopi
 
Hii dunia ina watu wajinga wengi sana. Yaani chuo cha ugaidi eti kinatajwa hadharani kabisa!!
 
Tumshukuru hayati Rais ,, BWM, Benjamin William Mkapa, kuwanyang'anya shirika la Tanesco chuo Chao pale Msanvu Morogoro na kuwapa waislam bure chuo kilichojengwa kwa Kodi na bill za umeme za watanzania wote mpaka wagalatia,,, na Mkapa alikuwa mgalatia safi ila hakuwa mdini.
Sheikh ponda alisema hawawezi kupewa eneo na kafiri
 
Hivi wanaowaita Makafiri wanakubalika kusoma hapo chuoni ?
Je wapo ?
Kama wapo wanapitia hali gani hasa ?
Wanafaulu kweli ?
Au ndio wanaishia kufelishwa kusengenywa na kudhihakiwa ?
Na wenye Dini ya haki
 
Tumshukuru hayati Rais ,, BWM, Benjamin William Mkapa, kuwanyang'anya shirika la Tanesco chuo Chao pale Msanvu Morogoro na kuwapa waislam bure chuo kilichojengwa kwa Kodi na bill za umeme za watanzania wote mpaka wagalatia,,, na Mkapa alikuwa mgalatia safi ila hakuwa mdini.
Ni kwani mkapa alifanya hivi, je alifanya kwa hisani ya nani , haingii akili kabisa.
Know chukua mali za umma na kugeuza kuwa za Taasisi za keep dini
 
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).

NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
Haya ni matumizi mabaya ya neno UNIVERSITY
 
Ni kwani mkapa alifanya hivi, je alifanya kwa hisani ya nani , haingii akili kabisa.
Know chukua mali za umma na kugeuza kuwa za Taasisi za keep dini
Hawakuwa na chuo, wakalalamika. Wakati wagalatia wanajenga vyuo, wao wanajenga misikiti, Mkapa akaamua kuingia serikalini akalitia hasara Shirika la Tanesco akawapora chuo kilichokuwa kinatoa utaalam wa umeme, akawapa bure.
 
Ilikuwa kosa la kiufundi kuweka neno "Muslim", katika utambulisho wa chuo, it serves nothing zaidi ya kukimbiza wateja wengine.

Ila jioni huwa tunakula nao komasava pale samaki samaki wakiwa wameweka baibui pembeni. Wananata na biti diamond anasubiri.

Ila kwa nini wanadai kwamba hata eneo la mitambo ya tanesco ni lao?
Mimi sioni jama kuna kosa! Mbona sisi Wakatoliki tuna RUCU (Ruaha Catholic University) Tuna SAUT, nk. Na ukienda kwenye hivyo vyuo, utakutana na wanafunzi wa imani tofauti.

Mimi nadhani utoaji wa elimu bora ndiyo muhimu zaidi kuliko jina la taasisi husika.
 
Back
Top Bottom