M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wanatoa shahada ya SHARIA pekee?!Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Cheney kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law).
sijui kwanini nimesoma huu upumbavu.Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, London, Tanga na Kigoma.
NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
Sharia ndo wamebobea. Ila kuna Islamic studies na Education piaWanatoa shahada ya SHARIA pekee?!
Allahu AkbarTakbiiiir!!
Maafisa Elimu kibao wamesoma MUM. Tuliza mshonoWaislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!
Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Naona huzioni kila benki duniani zinapaparikia Islamic Banking?Waislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!
Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Walikwambia wana shida ya "wateja"?Ilikuwa kosa la kiufundi kuweka neno "Muslim", katika utambulisho wa chuo, it serves nothing zaidi ya kukimbiza wateja wengine.
Ila jioni huwa tunakula nao komasava pale samaki samaki wakiwa wameweka baibui pembeni. Wananata na biti diamond anasubiri.
Ila kwa nini wanadai kwamba hata eneo la mitambo ya tanesco ni lao?
Wewe bikira wa 72, wenzio Masunni huko washerehekea kuondoka kwa Mshia Nasrallah wewe je?Walikwambia wana dhuda ya "wateja"?
Anayeogopa neno Waislam, (Muslim, Uislam, Islam huyo ni shetani tu.
Kumbe hicho chuo bado kipo, mbona kwenye mifumo ua ajira hatuwaoni watu waliosoma hicho chuo, wanaendaga wapi?Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).
NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
Wamshukuru BWMkapa kwa kuwapa hisani ya majengo ya umma hapo morogoro,vipi wameacha kuwalamba viboko wanafunzi wao?Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).
NB: Asante MUM kutupa elimu vijana