Muslim world na wapenda haki wote wengine, mbona huyu hamumchukii?

Muslim world na wapenda haki wote wengine, mbona huyu hamumchukii?

Dunia ina selective empathy.

yeah hilo hata mimi nimeliona, nafirikiri media ina power kubwa sana, media inaamua nani apendwe na yupi achukiwe, mfano mdogo tu hakuna adminstration ya USA iliyoua na kutesa muslims hasa wa afrika kama ya Obama kuanzia vita yote ya siria mpaka kuuliwa kwa gadafi, raisi pekee aliye-attack african country ni Obama na Clinton (ali-attack somalia), kuvunjika kwa sudani na hata mateso yanayoendelea sudani ni Obama adminstration ilihusika lkn Obama na Clinton ni kama malaika kwa "waafrika na wapenda haki" cha ajabu waafrika wanamchukia D.Trump ingawaje hajawahi (Trump) ku-attack afrika sana sana ameingilia kuzuia mauaji na mateso ya Christians in nigeria, Trump amekomesha atleast mpaka sasa.

so yeah media ndiyo inayoamua nani apendwe na yupi achukiwe ...
 
elimu ya tanzagiza kuanzia form 1 ni kiingereza na nchi nzima isitoshe kiingereza kinafundishwa kuanzia darasa la 3 hivyo kama mpaka leo hauwezi kuelewa sentensi ya kiingereza, hiyo sasa ni shida yako ...
apataye haachi kusifia akili zake,

ahsante kwa ushauri wako nimekuelewa
 
Pole mkuu,hata wengine wamemaliza vyuo vikuu, kiinglish Hawawezi

l

nielewavyo tatizo la tanzagiza kwenye lugha ya kiingereza ni kwenye kuzungumza lkn siyo kusoma na kuelewa sentensi ya kiingereza, hao wanaomaliza chuo na “hawajui” kiingereza tatizo kubwa huwa kwenye kuongea lkn kusoma na kuelewa wanaweza kwani hata wamefaulu mitihani ambayo iko kwa kiingereza.

sasa ukiona mtu hata kusoma na kuelewa sentensi hawezi basi tatizo ni kubwa zaidi na mara nyingi ni lake zaidi klk mfumo wa elimu.

hakuna tiba ya low iq, hauwezi ku-fix low iq i.e kama mtu ana low iq hakuna kitu utafanya …
 
Back
Top Bottom