Yupi?msikilizeni wenyewe akiongelea kifo na kukejeli, we came, we saw, he died, hahahah (akicheka kwa dharau), what a psychopath ...
Dunia ina selective empathy.
cc wengine english no, ungetutafsiria
apataye haachi kusifia akili zake,elimu ya tanzagiza kuanzia form 1 ni kiingereza na nchi nzima isitoshe kiingereza kinafundishwa kuanzia darasa la 3 hivyo kama mpaka leo hauwezi kuelewa sentensi ya kiingereza, hiyo sasa ni shida yako ...
lapataye haachi kusifia akili zake,
ahsante kwa ushauri wako nimekuelewa
Pole mkuu,hata wengine wamemaliza vyuo vikuu, kiinglish Hawawezi
l