Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

Mstaafu ni mwongo huyo! Ametumia pensheni yote kujenga nyumba ya kuishi na hela itakuwa imekata, anachokifanya ni kutafuta sababu auze hiyo nyumba apate pesa bila kustukiwa na family

Mkuu chukua beer 🍺 bill ije kwangu.
 
FAMILIA moja ya Mwalimu Mstaafu katika mtaa wa Morembe kata ya Bweri, Musoma mjini imelazimika kuhama katika nyumba iliyokuwa ikiishi kutokana na visa mfululizo vya wanyama wakali kama nyoka, Simba, Chui na hata moto wa ajabu unaoteketeza vitu vya ndani.

Mwalimu Mary Warioba alistaafu utumishi mwaka jana akiwa akifundisha katika Shule ya Msingi Ryamrimi nakuamua kujenga nyumba yakustiri familia
Siyo Ryamlimi ni Rwamlimi mitaa yangu hiyo na shule yangu
 
Mwanazuoni nipo hapa kutolea ufafanuz wa hilo jambo

Kutokea kwa moto mara kwa mara sio uchawi wala nin tatizo ni kwamba pale mtumish alipojenga palikua na either concentration of methane gas kutokana na mgandamizo wa taka au mbolea au pale chin kuna movement of molten materials 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Achen kuamini uchawiiiiii
 
Pole yao sana...

Wahushishwe pia wana jiolojia usikute wapo kwenye mkondo wa volcano...
 
FAMILIA moja ya Mwalimu Mstaafu katika mtaa wa Morembe kata ya Bweri, Musoma mjini imelazimika kuhama katika nyumba iliyokuwa ikiishi kutokana na visa mfululizo vya wanyama wakali kama nyoka, Simba, Chui na hata moto wa ajabu unaoteketeza vitu vya ndani.
Atakuwa amejenga sehemu ambayo ilikuwa ndio kijiwe pendwa cha wachawi . Tunaponunua viwanja tujaribu kupeleleza sana historia ya eneo kabla ya kununua.
 
Yani matatizo yanampata mtu mwinginge kutetemeka unatetemeka wewe? Wewe hata nyumban kwako akitokea nyoka unaweza kujificha nyuma ya mgongo wa mke wako
 
mwanazuoni nipo hapa kutolea ufafanuz wa hilo jambo

kutokea kwa moto mara kwa mara sio uchawi wala nin tatizo ni kwamba pale mtumish alipojenga palikua na either concentration of methane gas kutokana na mgandamizo wa taka au mbolea au pale chin kuna movement of molten materials 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

achen kuamini uchawiiiiii
Ahsante mwanazuoni...vp kuhusu hayo majoka na masimba na machui na hizo nnya wanazozikuta kitandani na kwenye chakula.........???? hapo kuna kuwa na concentration ya nin mkuu.....[emoji849]
 
ahsante mwanazuoni...vp kuhusu hayo majoka na masimba na machui na hizo nnya wanazozikuta kitandani na kwenye chakula.........???? hapo kuna kuwa na concentration ya nin mkuu.....[emoji849]
Swali zuri!
 
Weee uchawi upo ndugu me nakumbuka nikiwa la pili nilichanjwa usiku kwenye paji la uso na puani kuanzia siku hiyo silali bila kuomba na sikuchezewa tena
 
Na kukuta kinyesi kimepakwa ukutani na kwenye chakula unaongeleaje?
mwanazuoni nipo hapa kutolea ufafanuz wa hilo jambo

kutokea kwa moto mara kwa mara sio uchawi wala nin tatizo ni kwamba pale mtumish alipojenga palikua na either concentration of methane gas kutokana na mgandamizo wa taka au mbolea au pale chin kuna movement of molten materials 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

achen kuamini uchawiiiiii
 
Kutokukutana kwako na changamoto za uchawi haimaanishi ndo haupo kabisa. Kinachotakiwa ni kuzidi kuomba usikutane na vitendo vyake coz Ni mateso, huna tofauti na wale wanaosema hakuna MUNGU kwasababu haonekani angekuwepo kweli angeshaonekana.

Kama Ni mpenzi wa kuangalia Taarifa ya habari mwaka 2019 ITV walionesha tukio lililotokea mkoa wa pwani, jamaa aliiba debe mbili za mahindi kwenye nyumba ya mama mmoja alipoondoka nazo kufika kwake ule mzigo wa Mahindi uligoma kushuka akawa anatembea nayo Mtaani sku mbili mfululizo ikabidi ajipeleke kituo Cha polisi kuomba msaada lakn still ilishindkana kumsaidia kushusha Yale mahindi, solution ikaonekana Ni kumtafuta yule Mama mwenye Yale mahindi alipofika ndo akamtengenezea madawa yake pale ndo mzigo ukashuka.

(Recorded video sio tu kusoma habari) Sasa na usomi wako labda hapo utatupa biological au physical causes za mzigo kuganda kichwani? UCHAWI upo bro isitoshe hata kwenye holy books umeandikwa kuwa mungu aliuumba uchawi, unless you are atheist too.
Story za kusadikika. Wanaoamini wajinga kama mtunzi wake.
 
Unaongea Nini asee, imagine hiyo nyumba na story zake za uchawi utembezewe wewe utainunua kweli?? haya tufanye ndio utainunua Je, familia yake ndo haitojua??
Mstaafu ni mwongo huyo! Ametumia pensheni yote kujenga nyumba ya kuishi na hela itakuwa imekata, anachokifanya ni kutafuta sababu auze hiyo nyumba apate pesa bila kustukiwa na family
 
FAMILIA moja ya Mwalimu Mstaafu katika mtaa wa Morembe kata ya Bweri, Musoma mjini imelazimika kuhama katika nyumba iliyokuwa ikiishi kutokana na visa mfululizo vya wanyama wakali kama nyoka, Simba, Chui na hata moto wa ajabu unaoteketeza vitu vya ndani.
Elimu ya dunia ni pana zaidi.....

Mwalimu huyo asaidiwe mawazo ya kupatiwa ufumbuzi na INAWEZEKANA........
 
FAMILIA moja ya Mwalimu Mstaafu katika mtaa wa Morembe kata ya Bweri, Musoma mjini imelazimika kuhama katika nyumba iliyokuwa ikiishi kutokana na visa mfululizo vya wanyama wakali kama nyoka, Simba, Chui na hata moto wa ajabu unaoteketeza vitu vya ndani.
Hahaha, kuna nyumba moja mkoa fulani, ni hizi za kununua zimeshajwangwa hata huju mtu aliifanyia nini, ilifika kipindi watu wakienda kulala sebuleni na jikoni watu wanazungukazunguka na hawajui ni watu gani, baadaye wakiacha vyakula jikoni vimeliwa. ilikuja kufika kipindi wakanza kuona mavi ndani tena mengi na bado ya moto hahaha, mengi kiasi kwamba hata wakazi wa nyumba hiyo wangekunya yasingekuwa mengi hivo....hahaha. kuna maajabu sana hapa duniani, uchawi na sheteni vipo.
 
Back
Top Bottom