Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

Ana utani huyo mkuu
Msamehe bure.
Wallah, katetemeka kikweli kweli huyo...

Just imagine, umetoka kwenye pilika, unarudi ghetto unakuta joka lipo kwenye kiti huku linakodolea JF kwenye laptop!

Eti Mkuu Song of Solomon, si ulikuwa unatetemeka ki ukweli ukweli, si eti 😅😅?!

Oh! Kumbe imeandikwa na Editha!
 
Kuna mpangaji nimefukuza wiki ya pili sasa, huyu alikuwa anatokea bukoba, yaan kaamia tu, maushenzi yameanza moto unawaka ndani, yaani ukitoka gas inawashwa mpaka mwisho, kinyesi kinasambaa, vyumba vinamwagiwa maji, vurugu mtindo mmoja, baada ya kumtimua ile siku kaondoka kaondoka na ujinga wake, na alikohamia pia hayo mambo yameanza..ni binti tu, hazidi miaka 25, ila balaa lake si la kitoto, mimi wa kuzoa mi mav* kweli?
 
mzee umetetemeka nini sasa hapo bossy,ewe form jiandae na mtian wa mchana sawa?
 
Back
Top Bottom