Musoma: Ahama nyumba kutokana na visa vya wanyama kama nyoka, Simba, Chui na moto wa ajabu

Mstaafu ni mwongo huyo! Ametumia pensheni yote kujenga nyumba ya kuishi na hela itakuwa imekata, anachokifanya ni kutafuta sababu auze hiyo nyumba apate pesa bila kustukiwa na family
Ni mjinga gani huyo atakayenunua kitu kama nyuma kijinga hivyo?.Kama bado wako watu wa hivyo basi afrika wajinga hawawezi kuisha.
 
Nashangaa kuna mapopoma humu yanabisha hakuna uchawi
 
Hii habari niliiona Azam tv kwenye taarifa ya habari
Dunia ina mamboo yasikie tuu kama masimulizi ila usiombe yakukutee
 
Nimetizama hii habari kwenye Taarifa ya habari Star tv....

Yani Vyombo vikitolewa nje kunakua Shwari, vikirudishwa ndani Moto unawaka....

Kilichonishanga wakati waandishi wa Habari wako nje wakiwahoji Wahusika, ghafla ndani Moto unawaka Tena ukiunguza Godoro!
 
Mimi bado siaminii....Jana usiku kama saa nane hivi nilisikia purukushani za mtu kutembea mwendo wa kunyata nilipochungulia dirishani nilimwona jirani yangu akiwa uchi wa mnyama anatembea....

Mimi nikaaamua kulala zangu nikidhani labda amepatwa na mchanganyikio wa usingizi...
 
Mkuu ili Dunia iitwe Dunia ukamilifu wake nilazima mambo kama hayo ya wepo, uchawi husuda wizi uzinzi wivu tamaa rohambaya nk, Dunia siyo sehemu salama Tena
Sasa Uzinzi umeingiaje apo sasa mkuu?
 
Siku utakapokuja kulogwa usote hadi suriali iishe makalio ndio utajua uchawi upo. Kama unaamini Mungu yupo unatakiwa kuamini pia kuwa shetani yupo na ni real.
 
Jumbe Brown the man himself nakukubali ana mkuu sema uccm unakuvunjia sana heshima yako
🤣🤣🤣Asante kwa compliment mkuu.....nikubali kwa yale yasiyokuudhi 😜

CCM ni bahari mkuu....ina mazuri na mabaya yake.....uzuri wa chama hiki hakimlazimishi mtu kuwa mwanachama mkuu wangu so kuwa na amani komredi wangu!!!

👍
 
Nimekupata mkuu wangu[emoji120][emoji112]
 
Uchawi ni wewe mwenyewe na imani yako "UCHAWI HAKIKA HAUPO" Ila kwa kuwa anaamini amelogwa tiba pekee ya uhakika ni yeye huyo kumtafuta mganga(mchawi mkuu) atakae muamini na kuridhika kuwa ni kiboko ndipo tatizo litaisha au TIBA KAMILI "Psychological Treatment"
 
Uchawi kidogo tu unatetemeka, siku ukionana live na wanga usiku si ndo utazimia.
 
ile nyumba ya ile story ya wale walionunua kama mwaka jana ivi huko tanga baada ya mwenyewe kushindwa kulipa mkopo wa bank
sasa walionunua walidai wanatembezewa rungu usiku si wa kiume wala wa kike, si mdogo wala mkubwa mpaka wamekimbia ilitangazwa ITV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…