Kuna mpangaji nimefukuza wiki ya pili sasa, huyu alikuwa anatokea bukoba, yaan kaamia tu, maushenzi yameanza moto unawaka ndani, yaani ukitoka gas inawashwa mpaka mwisho, kinyesi kinasambaa, vyumba vinamwagiwa maji, vurugu mtindo mmoja, baada ya kumtimua ile siku kaondoka kaondoka na ujinga wake, na alikohamia pia hayo mambo yameanza..ni binti tu, hazidi miaka 25, ila balaa lake si la kitoto, mimi wa kuzoa mi mav* kweli?