Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

Ndiyo aina ya viongozi tulio nao
 
Jamani hizo Uniform za pink rangi ya malavi davi kuna kusoma hapo! Nawaomba uongozi wa shule wawashonee Uniform za rangi nyingine kama vile khaki, blue, kijani au hata kijivu...
 
Yan hao jamaa wamekaa kabisa wakaafikiana kwenda kuzawadia kengele? Akili za Jiwe hizi😃
 
KENGERE ya RIM ya ISUZU ETI ya Kisasa
 
Tatizo sio huyo Mbunge shida ipo kwa hao wananchi. Huwa najiuliza sana inakuwaje mtu una akili timamu unamchagua Kumbilamoto, Kibajaj, Msukuma, Babutale na MwanaFA ni upuuzi sana kuongozwa na hawa viumbe na uwendawazimu wa kiwango kikubwa sana. Mtu kaenda kuokota Rim la Fusso analeta zawadi.
 
.Tatizo sio kupeleka zawadi ya kengele, tatizo ni hiyo media coverage, was it necessary? Yani unarecord tukio kisa rim ya gari?
Yaani Kuna vitu Hawa politicians wa hii nchi wanafanya unabaki kukosa majibu.
 
Yaani Kuna vitu Hawa politicians wa hii nchi wanafanya unabaki kukosa majibu.
No wonder, wanasiasa wengi ukimsimamisha mbele ya watu hawezi kujielezea kwa ufasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…