Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023).
Sifa za huyu mwamba;
~ Unaambiwa huyu mwamba ni halland mtupu kwenye nafasi Tano anakufunga magoli manne
~ Huyu Mwamba hafai alishawai kupiga penati kwa kichwa na akafunga. Kuna kipindi aliwavisha makanzu mabeki wanne alipofika kwa kipa akafumba macho na akafunga goli. Hapa upande wa pili ubingwa ndo wameuaga rasmi.
NB: Time Will tell [emoji120][emoji120].