Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

Huyu si Ajax na Chelsea walikuwa wanamtaka ni mtu na nusu Yanga wamelamba dume..
 
Nimegundua wabongo sasa hivi wamechoka kufuatilia mambo ya usajili, maana kunakuwa na maneno mengi lakini mchezaji akija inaonekana ni gharama.
 
Hata kambole mlisema hivyo hivyo mwisho wa siku mkamfanya msekule hatoki nje mnamuweka ndani tu.
 
Yanga ina wachezaji wa kimataifa 12. mpaka sasa haijapunguza hata mmoja. hyo anapata nafas wap nan kaachwa. wachezaj wote wa kimataifa wana mikataba muda mrefu. yanga hawana uwezo wa kuivunja hyo mikataba na wakapata hela ya kununua mchezaj mwingine
 
Wamepewa ruhusa hata timu pinzani kina chama wako kwao,ila bwana bm ye alienda kwao kitaaaaaambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule ni tatizo
Bm ni shida sana
 
Back
Top Bottom