Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Hapana hamna rushwa hapo ukiangalia hapo Sharrif Mohammed(Shamoo) na pesa zake zote kashindwa kuchomoka huyo Mussa Mangu alikua dereva wake.Nchi ya kitu kidogo
Kweli huyo jamaa kimazingira hakuwa na hatia ni vile tu jeshi letu la polisi lipo nyuma sana kwenye investigations.....Hapana hamna rushwa hapo ukiangalia hapo Sharrif Mohammed(Shamoo) na pesa zake zote kashindwa kuchomoka huyo Mussa Mangu alikua dereva wake.
4bilions zilizoliwa zimefanya Nini Cha maana hao hata waongezewe Trillions of money hamna kitu kabisa wengi ni form four failure.Kumbe jamaa alikuwa dereva tu wa aliyetekeleza mauaji, akaangukiwa na jumba bovu. Inabidi polisi waongezewe bajeti ya kufanya uchunguzi.
Hapo sawa mkuu. kwa hiyo yeye tu ndiye ameachiwa!Hapana hamna rushwa hapo ukiangalia hapo Sharrif Mohammed(Shamoo) na pesa zake zote kashindwa kuchomoka huyo Mussa Mangu alikua dereva wake.
Ndio kaachiwa yeye tu wengine wanaendelea kutumikia adhabu.hapo sawa mkuu. kwa hiyo yeye tu ndiye ameachiwa!
Lakini rufaa si walikata yeye na wenzie!? Sasa inakuwaje achomoke mmoja tu kwenye hiyo rufaa!!?Ndio kaachiwa yeye tu wengine wanaendelea kutumikia adhabu.
Simple mkuu, hajawa linked na crime scene, tatizo tunaishi kwenye nchi ambayo bado inatumia mbinu za kipelelezi za miaka ya 20s,yaani kipigo, kulazimisha ushahidi, kukamata ovyo bila ya kujiridhia beyond doubts kuwa suspect ni mhusika, ni ndoto yangu kujenga DNA lab, iwe chini ya TP, nita train foresinc investigatives na finger prints za watanzania wote zitahifadhiwa ndani ya lab hii, watch the spaceLakini rufaa si walikata yeye na wenzie!? Sasa inakuwaje achomoke mmoja tu kwenye hiyo rufaa!!?
Angeuawa bila sababuHuyo jamaa hakuusika kabisa na hakujua kosa linaloenda kutendeka.
Je baada ya kosa kutendeka na kujua,je alitoa taarifa kwa Jeshi la Police au nae alificha Siri!!??Huyo jamaa hakuusika kabisa na hakujua kosa linaloenda kutendeka.
Unaweza kuthibitisha...Kama alimuendesha mtuhumiwa Hadi kwenye mauaji na yeye hakuripoti polis baada ya tukio ujue na yeye ni sehemu ya tukio