econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kuficha silaha kwani yeye alijua inatumika au imetumika kufanyia nini!? Yeye alienda eneo la tukio na kutenda uhalifu!? Kupewa silaha na kuweka Hakukufanyi uwe mhusika wa tukio.
Kuficha silaha zilizotumika kwenye mauaji sio kosa? Really?