Kuficha silaha kwani yeye alijua inatumika au imetumika kufanyia nini!? Yeye alienda eneo la tukio na kutenda uhalifu!? Kupewa silaha na kuweka Hakukufanyi uwe mhusika wa tukio.
Yeye anajuaje kuwa hiyo silaha imetoka kutumiwa kuua!? By the way, mtu ndiye anayeua, silaha ni nyenzo tu. Kwa hiyo aliyepewa aweke kupewa kesi ya mauaji huko ni kuonewa.
Usije kusahaun, kesi ambazo zinatolewa macho sana na wageni, mawakili wa serikali hujitoa akili kabisa ili tu serikali ionekane iko serious na wageni. Ndio inapelekea watu wengine kuhukumiwa unfairly.