Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

Dogo kweli aliyakanyaga
 
Labda wewe ndo unaweza kuwa mgeni ila kwasisi tuliozaliwa hapa mjini tumeshashudia madogo wengi wenye tamaa wakipotea
Huhitaji kuzaliwa au kuishi Dar kufahamu matukio ya aina hiyo na ndo maana hapa linajadaliwa tukio la Tanga lakini hadi watu wanaoishi Utigi wanafahamu uwepo wa tukio husika!
 
Huhitaji kuzaliwa au kuishi Dar kufahamu matukio ya aina hiyo na ndo maana hapa linajadaliwa tukio la Tanga lakini hadi watu wanaoishi Utigi wanafahamu uwepo wa tukio husika!
Mimi naongelea kulingana na experience yangu ya matukio kama ya huyo dogo na sehemu nilipo sehemu nilipo Kuna ubaya gani
 
Lugha ya tuhuma ambayo inaweza kuingia jalada la mashtaka imeshaanza kutaka kumuachilia Mwakinyo.
Musa anasema alipigwa mtama halafu Mwakinyo akaagiza kisu na kuanza kumshambulia na ikafuatiwa na kufungulia mbwa.Sasa polisi wanasema anashikiliwa kwa kosa la kutodhibiti mbwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…