Acha kutetea ushenzi wewe! Eti Marekani na SA! Marekani ya wapi hiyo? Usichojua ni kwamba matukio kama hayo kwa US au hata SA huwa yanaambatana na matumizi ya silaha, kwahiyo mwenye mali inakuwa rahisi kwake kusema ilikuwa self-defense kwa sababu victim alikuwa na silaha lakini sio huyo Dogo ambae Mwakinyo alikuwa na uwezo wa kumdhibitiKwa kosa gani? Kwa marekani na South Africa mtu akiingia kwenye eneo lako ukimpiga bomba huna kosa huyo dogo ashukuru busara tu za mwakinyo