Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

Sawa ni mwizi kwanini ajichukulie sheria mkononi
Hakuna Sheria mkononi yeye mwenyewe mwakinyo kasema aliamshwa na kelele za mbwa huyo dogo anasema sema alikamatwa ndo mbwa wakafunguliwa kitu ambacho hakii akilini mtu afunge mbwa wa ulinzi harafu awafungie bandani
 
Huyo dogo naye ni mwizi tu, maelezo yake yana utata mwingi

Namuelewa Mwakinyo kwanini kafanya hivyo ingawaje sio sahihi
 
Hakuna Sheria mkononi yeye mwenyewe mwakinyo kasema aliamshwa na kelele za mbwa huyo dogo anasema sema alikamatwa ndo mbwa wakafunguliwa kitu ambacho hakii akilini mtu afunge mbwa wa ulinzi harafu awafungie bandani
Jina lako ni Muck know
 
Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini.

Akiongea Hospitalini hapo Kijana huyo amesema Mwakinyo alimshambulia kwa kisu na kumfungulia mbwa sita saa 12 alfajiri alipokuwa akiokota nazi zilizokuwepo barabarani katika mtaa wa

Sahare anaoishi Mwakinyo "Mimi ni Mvuvi nafanya kazi za Baharini, siku ya tukio niliamka kwenda kufanya kazi ya kuchomeka nguzo maeneo ya Tanga Beach hii ni kazi tu niliyoipata kwa siku hiyo"

"Niliwa njiani nikaziona nazi zimepangwa na nikaanza kuziokota, ghafla Hassan Mwakinyo alifika akiwa na Kijana wake wa kazi wakaniuliza nazi nimetoa wapi? nikajibu nimeziokota, Mwakinyo akajibu umeyakanyaga na kuanza kunishambulia kwa kunipiga mtama na kuniburuzia nyumbani kwake, zile nahisi kama zilitegeshwa"

"Mwakinyo wakati anaendeelea kunishambulia akamuagiza

Kijana wa kazi kisu na kuanza kunikata miguu na kunivua nguo na kufungulia mbwa waliokuwa wakinijeruhi kwa zaidi ya lisaa limoja, nikakaa pembeni nikiwa nimekata tanaa nasubiri kufa tu, akaja Mwenyekiti baadaye wakaja Polisi nikawasikia wanasema ameshakufa huyu tumburuze tu, baadaye nikajikuta Hospitali"

Kwa upande wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limethibitisha kumshikilia Hassani Mwakinyo (29), Mkazi wa Sahare Jijini Tanga kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za kushindwa kudhibiti mbwa wake, ambao walimshambulia na kumjeruhi Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga "Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwakinyo baada ya mbwa hao kuachiliws huru katika eneo la nyumbani kwake

Chanzo: Millard Ayo
Sasa kwanini kesi iwe KUSHINDWA KUWADHIBITI MBWA WAKE badala ya KUMJERUHI MTU KWA KUMSHAMBULIA KWA VISU NA MBWA?
 
Haha... Kweli watu wa Tanga ndivyo mlivyo. Ona ulivyothibitisha.
Pole sana, lakini kwa taarifa yako hata huko Tanga kunafananaje, SIJUI! Katika ukoo wetu wote, mtu pekee ambae angalau amewahi kuishi Tanga ni babangu mdogo ambae alikuwa kule Kikazi na tangu ametoka sidhani kama amewahi kwenda Tanga! Sina kumbukumbu ikiwa nina ndugu yeyote wa Kitanga hata kupitia ndoa za ndugu za wengine!! Kwa maana nyingine, watu wanaojielewa hawakemei upuuzi eti kwa sababu upuuzi huo una uhusiano wa aina yoyote na wao bali wanakemea upuuzi kwa sababu ni upuuzi kuhusisha upuuzi na jamii yoyote ile.
 
Wananchi wamemchoka kwa vituko vyake........
wananchi wanataka ahame........
SISI TUSIOISHI NAYE TUNATETEA......
 
Po
Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini.

Akiongea Hospitalini hapo Kijana huyo amesema Mwakinyo alimshambulia kwa kisu na kumfungulia mbwa sita saa 12 alfajiri alipokuwa akiokota nazi zilizokuwepo barabarani katika mtaa wa

Sahare anaoishi Mwakinyo "Mimi ni Mvuvi nafanya kazi za Baharini, siku ya tukio niliamka kwenda kufanya kazi ya kuchomeka nguzo maeneo ya Tanga Beach hii ni kazi tu niliyoipata kwa siku hiyo"

"Niliwa njiani nikaziona nazi zimepangwa na nikaanza kuziokota, ghafla Hassan Mwakinyo alifika akiwa na Kijana wake wa kazi wakaniuliza nazi nimetoa wapi? nikajibu nimeziokota, Mwakinyo akajibu umeyakanyaga na kuanza kunishambulia kwa kunipiga mtama na kuniburuzia nyumbani kwake, zile nahisi kama zilitegeshwa"

"Mwakinyo wakati anaendeelea kunishambulia akamuagiza

Kijana wa kazi kisu na kuanza kunikata miguu na kunivua nguo na kufungulia mbwa waliokuwa wakinijeruhi kwa zaidi ya lisaa limoja, nikakaa pembeni nikiwa nimekata tanaa nasubiri kufa tu, akaja Mwenyekiti baadaye wakaja Polisi nikawasikia wanasema ameshakufa huyu tumburuze tu, baadaye nikajikuta Hospitali"

Kwa upande wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limethibitisha kumshikilia Hassani Mwakinyo (29), Mkazi wa Sahare Jijini Tanga kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za kushindwa kudhibiti mbwa wake, ambao walimshambulia na kumjeruhi Mussa Ally (21), Mv
 
Pole sana, lakini kwa taarifa yako hata huko Tanga kunafananaje, SIJUI! Katika ukoo wetu wote, mtu pekee ambae angalau amewahi kuishi Tanga ni babangu mdogo ambae alikuwa kule Kikazi na tangu ametoka sidhani kama amewahi kwenda Tanga! Sina kumbukumbu ikiwa nina ndugu yeyote wa Kitanga hata kupitia ndoa za ndugu za wengine!! Kwa maana nyingine, watu wanaojielewa hawakemei upuuzi eti kwa sababu upuuzi huo una uhusiano wa aina yoyote na wao bali wanakemea upuuzi kwa sababu ni upuuzi kuhusisha upuuzi na jamii yoyote ile.
Mpuuzi katika ubora wako. Nakupuuza.
 
Nahisi dogo atakuwa mwizi,unakuta nazi zimepangwa barabarani unaanza kuokota,tena zimepangwa sio kusambaa?huyu nahisi alikamatwa anaiba kabisa eneo la tukio ila anajaribu kutengeneza stori ambayo hata hivyo bado inamfunga tu
Halafu ni Nazi na wala sio madafu.
Na hata yangekua madafu hayo yangekua yameamguliwa na mtu.
 
Karibu mjini na hizo stori zako zisizoisha za "hapa Dar! Hapa Dar"
Labda wewe ndo unaweza kuwa mgeni ila kwasisi tuliozaliwa hapa mjini tumeshashudia madogo wengi wenye tamaa wakipotea
 
Back
Top Bottom