Must see Movies

Must see Movies

Kama hujaishusha carter 2022 unangoja nini?
ni ya kikorea ila inakuja na audio ya kizungu full mkono full blood full of actions
 
Ni ya kawaida Sana computer imetumika Sana story yake pia haina mvuto ukiicheki trailer lake Unaweza kudhani bonge la movie ukiangalia kabisa full unaona uhalisia ni overrated Sana si Bora uicheki ya mwanangu donnie yen inaitwa Ranging fire
 
Raging fire ya mwaka gani?

Computer iliyotumika humo imetumika kiakili na sio kama yale ma animation ya akina dr strange n.k
 
Karibu nikupe application ya Netflix ambayo haina malipo ya kila mwezi, uangalie movie yeyote unayo itaka milele bila kulipia malipo ya mwisho wa mwezi.

(Kumbuka application ya kawaida itakudai malipo yasiyopungua elfu 20 kila mwezi ili uendelee kupata huduma ya kuangalia movie, ila hii ninayo kupa mimi haina hayo malipo ya kila mwezi, yaani ni BUUUREEEE kabisa)

Nitakupa application hii kwa 5000 tu.

Karibu Whatsapp 0620181872[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ina run kwenye simu pia?
 
Acha urafi wa Pesa umeshindwa kutoa Bure mpaka ulipishe watu [emoji848]?..? Kwanza istoshe wewe mwenyewe umeipata Bure sasa hiyo tamaa yakulipisha watu unatolea wapi mKuu
 
Back
Top Bottom