Must see Movies

Ulikuwa wapi
Jamaa alikuwa anajaza mafuta kwenye gari wakati huo mke wake ameingia ndani supermarket kununua mahitaji, wakati anatoka anakutana na mtu anaongea nae then anamuita kwenye gari yake amsaidie kitu. Na wakati wanaongea yule mume wake alikuwa amegeukia upande mwingine akawa haoni kinachoendelea then kuna gari kubwa lilikuja likapaki mbele yao, lilivyoondoka na mke wake akawa ametokomea na yule bwana haonekani tena
 
Last Seen Alive: Jamaa mke wake anatekwa wakiwa fuel station, anamtafuta mpaka anampata. Sio mbaya sana!View attachment 2402577
Hizi story za Human Trafficking naonaga mala zote kama zinaendana maana kuna kama movies 3 nilishawahi ziona zote Wanawake wanatekewa Gas stations [emoji37] sijui hawa story writers hawalioni hili.

Tuchukulie mfano kama hii movie angecheza mtu tofauti (asiye na umaarufu) na Gerrard Battler ingekuwa movie ya kawaida mnooo [emoji706].
 
Kabisa mkuu, hii ni low budget nayo. Nimei download kwasababu nilimuona tu jamaa yupo nika guess itakuwa movie nzuri sana ila ni ya kawaida tu.
 
Kabisa mkuu, hii ni low budget nayo. Nimei download kwasababu nilimuona tu jamaa yupo nika guess itakuwa movie nzuri sana ila ni ya kawaida tu.
Mimi Trailer tu ilitosha kunionyesha Jamaa kazamia Mtumbwi wa Vibwengo,mpaka sasa hata sina wazo la kuitafuta [emoji16].
 
Movie 52?! Hebu share hata title hapa nianze kupakuwa zinazonifaa
[emoji23] mKuu najua ushazitizama maana nilikuwepo naona baadhi mlikuwa mnazizungumzia humu,ukizingatia nitoka mwezi wa 4 niko Pori mtandao hauruhusu ku download labda kuperuzi tu ndio maana zipo nyingi.

#HORROR my favorite Genre [emoji23]najua huiwezi.
 
Horror movies kwa kweli sizipendelei sana. Ila sio kwamba naogopa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…