masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nzuri hii niitafuteJamaa akili nyingi sana, anajua kucheza na akili za wanawake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri hii niitafuteJamaa akili nyingi sana, anajua kucheza na akili za wanawake.
Ni nzuri sana.Nzuri hii niitafute
ROGUE AGENT View attachment 2392518
Ulikuwa wapiLast Seen Alive: Jamaa mke wake anatekwa wakiwa fuel station, anamtafuta mpaka anampata. Sio mbaya sana!View attachment 2402577
Jamaa alikuwa anajaza mafuta kwenye gari wakati huo mke wake ameingia ndani supermarket kununua mahitaji, wakati anatoka anakutana na mtu anaongea nae then anamuita kwenye gari yake amsaidie kitu. Na wakati wanaongea yule mume wake alikuwa amegeukia upande mwingine akawa haoni kinachoendelea then kuna gari kubwa lilikuja likapaki mbele yao, lilivyoondoka na mke wake akawa ametokomea na yule bwana haonekani tenaUlikuwa wapi
Hizi story za Human Trafficking naonaga mala zote kama zinaendana maana kuna kama movies 3 nilishawahi ziona zote Wanawake wanatekewa Gas stations [emoji37] sijui hawa story writers hawalioni hili.Last Seen Alive: Jamaa mke wake anatekwa wakiwa fuel station, anamtafuta mpaka anampata. Sio mbaya sana!View attachment 2402577
Kabisa mkuu, hii ni low budget nayo. Nimei download kwasababu nilimuona tu jamaa yupo nika guess itakuwa movie nzuri sana ila ni ya kawaida tu.Hizi story za Human Trafficking naonaga mala zote kama zinaendana maana kuna kama movies 3 nilishawahi ziona zote Wanawake wanatekewa Gas stations [emoji37] sijui hawa story writers hawalioni hili.
Tuchukulie mfano kama hii movie angecheza mtu tofauti (asiye na umaarufu) na Gerrard Battler ingekuwa movie ya kawaida mnooo [emoji706].
Mimi Trailer tu ilitosha kunionyesha Jamaa kazamia Mtumbwi wa Vibwengo,mpaka sasa hata sina wazo la kuitafuta [emoji16].Kabisa mkuu, hii ni low budget nayo. Nimei download kwasababu nilimuona tu jamaa yupo nika guess itakuwa movie nzuri sana ila ni ya kawaida tu.
Iangalie tu pale unapokuwa huna kazi ya kufanyaMimi Trailer tu ilitosha kunionyesha Jamaa kazamia Mtumbwi wa Vibwengo,mpaka sasa hata sina wazo la kuitafuta [emoji16].
Sema Jamaa namkubali sana ila mpaka nimalizie viporo kuna movies 52 & series 8 zinanidai [emoji23].Iangalie tu pale unapokuwa huna kazi ya kufanya
Movie 52?! Hebu share hata title hapa nianze kupakuwa zinazonifaaSema Jamaa namkubali sana ila mpaka nimalizie viporo kuna movies 52 & series 8 zinanidai [emoji23].
[emoji23] mKuu najua ushazitizama maana nilikuwepo naona baadhi mlikuwa mnazizungumzia humu,ukizingatia nitoka mwezi wa 4 niko Pori mtandao hauruhusu ku download labda kuperuzi tu ndio maana zipo nyingi.Movie 52?! Hebu share hata title hapa nianze kupakuwa zinazonifaa
Horror movies kwa kweli sizipendelei sana. Ila sio kwamba naogopa[emoji16][emoji23] mKuu najua ushazitizama maana nilikuwepo naona baadhi mlikuwa mnazizungumzia humu,ukizingatia nitoka mwezi wa 4 niko Pori mtandao hauruhusu ku download labda kuperuzi tu ndio maana zipo nyingi.
#HORROR my favorite Genre [emoji23]najua huiwezi.
Kuna kawimbo kanachombeza hapo. Goodbye to you my trusted friend..Trailer ya JOHN WICK 4 imetoka hiyo battle ya John wick na donnie yen ni balaa