Must see Movies

Must see Movies

Unaona sasa [emoji16][emoji16] ulilinganisha na muvi kama black adam ipi itaonekana angalau inauhalisia?
Apo kwanza ni movies zenye genre tofauti lakini tukilinganisha kama ulivyosema zote hamna kazi labda leta nyingine ya kulinganishia.

Black Adam ni vile tu DC ni watu wazito kwenye maswala ya comics kwa ukimtoa na MCU na imepewa airtime kubwa Lakin kiukweli sijaona ukali wake (kwa upande wangu lakin) Sijui kwa wengine.
 
Kuhusu black adam uko sawa kabisa .
 
Kuhusu black adam uko sawa kabisa .
Angalia Carter dk 51:38-57:00 uone hzo stunts zake kama game vile[emoji28][emoji28][emoji28] na pale juu ya ndege kudadeki ni upuuzi mtupu maeneo Ayo wameact like wahindi wa kusini pumbavu zao kabisa.

Alaf kingine camera zake zipozipo tu yaani me nahisi walivyomaliza kuishoot wakaiachilia bila kufanya review wao wenyewe(jokes[emoji23][emoji23])

Washenzi waliua tu kitimoto ya watu[emoji39] kwenye gari
 
Nacheki vr fighter umeshaiona? Mkono unatembezwa hatari
 
Jina geni ilo siijui ipo vp tuma ata cover niione.
1670530559601.png
 
Ile pisi aisee ina tabasamu moja safi sana..
Picha linaanza pisi inaitwa Lizzy jina la marehem mkwewe jamaa kusikia jina akamwambia dem stop playin''[emoji28][emoji16]hakuamin kusikia jina ilo.

Sema K.H comedy sana mwl kasisitiza dress code akaona Sio swala acha yeye avae sket ila binti yake atinge suruali[emoji16][emoji28][emoji28]
 
KH zile ndio movies zake ni comedy tu, yeye pamoja na the Rock[emoji16]
 
Back
Top Bottom