Must see Movies

Nishakucheki pm
 
Polar...... muvi ya waasherati[emoji23][emoji23]
Jamaa kagonga demu, akapigwa shaba ya kichwa akafa ila bado mashine imesimama
Ila movie inakosha sana ile
Pale kuna dk kama mbili au tatu za mizagamuo kila uki 'skip' ngoma inadondokea kwenye mzagamuo ova unaangalia mdungo[emoji16][emoji16]
 
RIGHTEOUS THIEVES IKITOKA UNIJULISHE SAWA?
 
Project Wolf Hunting..!!
Imezidi jamani
kama hupendi damu imabidi uiache [emoji1][emoji1], sema nilidhani patapatikana japo survivor yani meli nzima hakuna kubaki [emoji1][emoji1] afu akabaki mtu ambae sikumtegemea japo kuna mahala alinishangaza nikaona huyu dogo sio kawaida.. watoe part 2
japo wakorea wanachelewaga hata miaka
 
Mnataka kusema wkend hii hakuna muvi hata moja ya kuzugia?
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwa walioiona hii muvi "SEOUL VIBE nadhani mliona wakati wa action graphics zinabadilika zinakuwa kama za game la GTA. Sijui director alifikiria nini [emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…