Must see Movies

Must see Movies

Mnataka kusema wkend hii hakuna muvi hata moja ya kuzugia?
[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Kigongo kingine hiki apa jamaa adui anauliwa ndugu yake na star wa movie mziki wake sio wa kitoto anagonga mkono mixer kucharanga watu mapanga kama hana akili timamu, Nimejionea mwenyewe na sijaifuta kwenye PC yangu
Screenshot_2023-02-17-18-22-32-67_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Kisanga kingine iki apa umu ndani kuna jamaa yeye ni killer killer lakini sio (msodoki[emoji16]) alijichanganya akaua manzi ya mwamba usalama wa taifa wa uko kwao jamaa ikabidi aombe likizo fupi kumtafuta muuaji siku aliempata alimpa doso heavy alaf akamlisha kiGPS tracker kila anapoenda na anachosema mwamba anasikia, Jamaa ilikuwa kila mara akitaka kufanya tena tukio mwamba anamuibukia anampa mateso............................... Hii ndo ile kitu mateso yanazidi unakimbilia polisi
Screenshot_2023-02-17-18-26-29-10_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Huwezi linganisha ma zile takataka zinazo itwa animation kama black adam na nyingine zinazo fanana na hizo
Kwangu mimi Seoul Vibe ni muvi kali lakini Black Adam sijawahi kuielewa, yaani baada ya kuiangalia tu nikaifuta papo hapo [emoji38][emoji38]
 
Ukidownload movie netnaija na subs shusha kupitia hapo...ukidownload kwingine zinapishana
The Roundup nimedownload kupitia Netnaija na subtitles pia ni za Netnaija ila bado zinapishana. Mbaya zaidi ni ya Kikorea [emoji22][emoji22]
Death on the Nile, Sorry about the demon na series ya House of the Dragon nazo mambo ni yaleyale
 
The Roundup nimedownload kupitia Netnaija na subtitles pia ni za Netnaija ila bado zinapishana. Mbaya zaidi ni ya Kikorea [emoji22][emoji22]
Death on the Nile, Sorry about the demon na series ya House of the Dragon nazo mambo ni yaleyale
Unatumia app gani kuangalizia movie VLC au
 
Back
Top Bottom