Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Kigongo kingine hiki apa jamaa adui anauliwa ndugu yake na star wa movie mziki wake sio wa kitoto anagonga mkono mixer kucharanga watu mapanga kama hana akili timamu, Nimejionea mwenyewe na sijaifuta kwenye PC yanguMnataka kusema wkend hii hakuna muvi hata moja ya kuzugia?
[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Kwangu mimi Seoul Vibe ni muvi kali lakini Black Adam sijawahi kuielewa, yaani baada ya kuiangalia tu nikaifuta papo hapo [emoji38][emoji38]Huwezi linganisha ma zile takataka zinazo itwa animation kama black adam na nyingine zinazo fanana na hizo
Ewaaaa siunaona sasa 🤤🤤🤤🤤Kigongo kingine hiki apa jamaa adui anauliwa ndugu yake na star wa movie mziki wake sio wa kitoto anagonga mkono mixer kucharanga watu mapanga kama hana akili timamu, Nimejionea mwenyewe na sijaifuta kwenye PC yanguView attachment 2520575
Itafute uenjoy mkuuEwaaaa siunaona sasa [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Itabidi niache kutumia Netnaija, hili tatizo la muvi kutomatch subtitles linanitokea sana. Hadi inakera
The Roundup nimedownload kupitia Netnaija na subtitles pia ni za Netnaija ila bado zinapishana. Mbaya zaidi ni ya Kikorea [emoji22][emoji22]Ukidownload movie netnaija na subs shusha kupitia hapo...ukidownload kwingine zinapishana
[emoji16][emoji16]dk ya ngapi hiyo nikamuangalie tenaKwenye Emancipation kuna jamaa kwenye battle field analia Mamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni mara chache, kitu ambacho sipendi netnaija ni poor quality. Bora hata fz unaweza kuchagua quality safi kidogoItabidi niache kutumia Netnaija, hili tatizo la muvi kutomatch subtitles linanitokea sana. Hadi inakera
Kuna dude linaitwa KANDAHAR litatoka mwezi was June ni motoooo. Jamaa anajua aseeeGerald Butler movies zake huwa sijifikirii mara mbili mbili kudownload najua lazima itakuwa nzuri tu.
Hii itakuwa poa sana. Nimecheki trailer kali!Kuna dude linaitwa KANDAHAR litatoka mwezi was June ni motoooo. Jamaa anajua aseee
Sibiri niangalie[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]dk ya ngapi hiyo nikamuangalie tena
[emoji16][emoji16]Sibiri niangalie[emoji1787][emoji1787]
ila ni ile battle yao ya mwisho badala nisikitike nilijikuta nachekaa[emoji23][emoji23]
Will Smith alivyo Fala anamfata anamwambia haya nenda kwa mama anakusubiri, anamfumba Macho dogo anadanja[emoji23][emoji23]Sibiri niangalie[emoji1787][emoji1787]
ila ni ile battle yao ya mwisho badala nisikitike nilijikuta nachekaa[emoji23][emoji23]
Netnaija nimeizoea, quality yake kwangu ipo safi tuMimi ni mara chache, kitu ambacho sipendi netnaija ni poor quality. Bora hata fz unaweza kuchagua quality safi kidogo
Unatumia app gani kuangalizia movie VLC auThe Roundup nimedownload kupitia Netnaija na subtitles pia ni za Netnaija ila bado zinapishana. Mbaya zaidi ni ya Kikorea [emoji22][emoji22]
Death on the Nile, Sorry about the demon na series ya House of the Dragon nazo mambo ni yaleyale
naona 1:55:00 lisaa na dakika 55[emoji16][emoji16]
yani nilicheka sanaa🤣🤣🤣Will Smith alivyo Fala anamfata anamwambia haya nenda kwa mama anakusubiri, anamfumba Macho dogo anadanja[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Natumia VLC, MX Player, Default Video Player na Xiaomi Video Player (Mi Video)Unatumia app gani kuangalizia movie VLC au