Must see Movies

Itabidi niache kutumia Netnaija, hili tatizo la muvi kutomatch subtitles linanitokea sana. Hadi inakera
Sitoacha kutumia Netnaija. Nilijaribu subtitles zaidi ya kumi za The Roundup, ila zote zipo vilevile zinachelewa sekunde kadhaa, nikaona isiwe shida nikaingia Google kutafuta solution, kumbe kupitia VLC unaweza kurekebisha kupitia subtitle delay tena unaset unavyotaka wewe. Nimefanikiwa na nimeiangalia The Roundup yote, Hii muvi tamu sana, Ina mkono wa kutosha tu, jioni imeshaenda vizuri [emoji1][emoji1]
 
Here is another interesting movie 😁
😁😁😁
👇👇👇👇👇👇
 
Download iyo app Playstore View attachment 2525921
Hii app nilikuwa nayo, nimeikuta
Anyway, kwenye VLC Media Player kuna sehemu ya kurekebisha subtitles zisizoendana na video. Mfano The Roundup subtitles zilikuwa zinachelewa sekunde 9 kwa hiyo kuna namna unazifanya ziende sekunde 9 mbele halafu subtitles zinakuwa fresh tu. Nimeshapata solution, The Roundup nimeshaiangalia
 
The Roundup nimedownload kupitia Netnaija na subtitles pia ni za Netnaija ila bado zinapishana. Mbaya zaidi ni ya Kikorea [emoji22][emoji22]
Death on the Nile, Sorry about the demon na series ya House of the Dragon nazo mambo ni yaleyale
Kama unatumia vlc Kuna sehemu ya ku adjust zika synchronize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…