Must see Movies

@Introsagvert hii movie ulifakiniwa kuimaliza kweli naona inahitaji roho yangu iwe katili[emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Mimi nimeiangalia usiku huu na nimeimaliza yote. Napenda sana mambo kama haya. Kama kuna muvi nyingine unaijua ya kuuana vibaya vibaya nitajie na Mimi niejoy Kwaresma hii.
Kuna nyingine inaitwa "Texas Chainsaw Massacre" na yenyewe watu wanauliwa hovyo lakini ina story kidogo. Mimi nataka kama hii Project Wolf yaani kuanzia dakika ya 30 hadi mwisho ni vifo tu[emoji28][emoji28]
 
[emoji2][emoji2]kuuana sio shida shida ni ile misosi wahun wanavyokula asee muda naingalia nilikuwa nakula nilihisi kuvomit.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
@Introsagvert hii movie ulifakiniwa kuimaliza kweli naona inahitaji roho yangu iwe katili[emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
mimi first time naiona, nna tabia ya kupelekaga mbele movie ili nijua inahusu nn, nakutaka na yule jama mwenye tatoo anamchinja mtu afu wanachekaa niliogopa, nikakaa skuio sina cha kuangalia nikasema ngoja niangalie nikawa naangalia jicho moja moja
Hivi huwa nnajiskiaje
Kumbe ni ya hovyo, bora hadi sasahivi sijaiangalia [emoji28][emoji28]
Kwani ina shida gani?
Hamna utakachoelewa, mana heri Operation wolf hunting mwishoni unaelewa who is who... huo movie haieleweki nahisi wanaielewa wakorea wenyewe pia mazingira ni ya kipindi hiko mambo ya revolution ..yani ingekua voice note atleast ningeelezea
 
Kama muvi yenyewe haieleweki basi[emoji28][emoji28]
Mabando yenyewe ya mchongo haya, sitaki kuchoma MB zangu.
 
Umeipataje naomba direct link
 
Sio tu vifo, bali damu zinamwagika kweli kweli kama mabomba ya maji[emoji16]
 
Mkuu usijali unaweza record voice note pembeni ukatuma pm zitatufikia!!
 
Mbali mnooo
Kwa uchache......

Extraction 2 (Chris Hemsworth) [emoji117]June 16

John Wick: chapter 4 (Keanu Reeves, Donnie Yen, Scott Adkins) [emoji117] March 24

The Expendables 4 (Sylvester Stallone, Jason Statham, Tony Jaa, 50 Cent) [emoji117] September 22

Fast X (Vin Diesel) [emoji117] May 19

Mission Impossible - Dead Reckoning Part One (Tom Cruise) [emoji117] July 14

Shazam Fury of the Gods [emoji117] March 17

Guardians of the Galaxy [emoji117] May 5

Aquaman and the Lost Kingdom [emoji117] December 25

Indiana Jones and the Dial of Destiny [emoji117] June 30

Luther: The Fallen Sun (Idris Elba) [emoji117] February 24

Operation Fortune (Jason Statham) [emoji117] January 13

Meg 2: The Trench (Jason Statham) [emoji117] August 4

Murder Mystery 2 (The Spitz) [emoji117] March 31
 
Operation fortune nimeitafuta sana siioni licha ya kusema imetoka january 13
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…