Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Pamoja mkuu hii weekend naifanyia kaziBro kama mliipenda squid game, Basi kaiangalieni na allice in the border land. Ni ya wajapan aisee ni [emoji91][emoji91].
Hi ilitoka kabla ya dquid game, aisee jamaa wanajua, afu pia story ni kali sanaa Living Pablo Introsagvert, Mafian cartel James Comey
View attachment 2534717
Yani ile squid game, haiingii ndani kwa Moto huuPamoja mkuu hii weekend naifanyia kazi
Inabidi tuangalie Ottoman Empire na sinema zetu.Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
Hii na Squid game. Squid game ni nzuri, inafundisha aise.Bro kama mliipenda squid game, Basi kaiangalieni na allice in the border land. Ni ya wajapan aisee ni 🔥🔥.
Hi ilitoka kabla ya dquid game, aisee jamaa wanajua, afu pia story ni kali sanaa Living Pablo Introsagvert, Mafian cartel James Comey
View attachment 2534717
Squid game ni best. Allice in boarderland imekaa kitoto sana sikuielewa kbsa. Nimeangalia season 1 sikutaka hata kuendelea nayo ila Squid game inanipa mzuka, yule jamaa baada ya kuhairisha safari ataenda kufanya nini?Yani ile squid game, haiingii ndani kwa Moto huu
Mkuuu kaangalie hata ratings, mauzo ndo uthibitishe hilijSquid game ni best. Allice in boarderland imekaa kitoto sana sikuielewa kbsa. Nimeangalia season 1 sikutaka hata kuendelea nayo ila Squid game inanipa mzuka, yule jamaa baada ya kuhairisha safari ataenda kufanya nini?
Yani hio squid game ni Kama walikopi kwenye alice, angalia story, action na bado Alice ni kali zaidiHii na Squid game. Squid game ni nzuri, inafundisha aise.
Inaonesha ni jinsi gani watu wanavyotafuta hela kwa njia yoyote ile.
Ila Allicein boarderland sikuelewa kabisa. Nimecheki season 1 yote.
Duh.... Ila Squid Game ni unyama sana[emoji91][emoji91]Squid game ni best. Allice in boarderland imekaa kitoto sana sikuielewa kbsa. Nimeangalia season 1 sikutaka hata kuendelea nayo ila Squid game inanipa mzuka, yule jamaa baada ya kuhairisha safari ataenda kufanya nini?
Kaangalie Alice in the borderland hutojutia aiseeDuh.... Ila Squid Game ni unyama sana[emoji91][emoji91]
Nimeingia YouTube comments za watu zinasema Alice in Borderland ni nzuri kuliko Squid Game tatizo tu haikufanyiwa promo kama Squid GameKaangalie Alice in the borderland hutojutia aisee
Ni vile siijui waliwaza Nini, ila hata mauzo allice wamewazidi squid game coz hiyoo ni zaidi ya seriesNimeingia YouTube comments za watu zinasema Alice in Borderland ni nzuri kuliko Squid Game tatizo tu haikufanyiwa promo kama Squid Game
Halafu ni watu wengi sana wanasema hivyo mpaka nashangaa. Hata kama ni ya 2020 lazima niiangalie.
Hii naangalia mchana huuhuuNi vile siijui waliwaza Nini, ila hata mauzo allice wamewazidi squid game coz hiyoo ni zaidi ya series
Duh.... Ila Squid Game ni unyama sana[emoji91][emoji91]
Sema season 2 hajatoaa, ila niliona posters kuwa wameanza kushoot ila inaeleweka vyemaa sanaaHii naangalia mchana huuhuu
Mkuu kwenye alice huo unyama ulizidi balaa, ngoja Reuben Challe atalemta mrejeshooo tuoneSquid game ina uhalisia wa maisha. Kuna watu wanatafuta hela kwa kudhulumu, kuua, kunyang'anya n.k ili mradi wapate hela. Nyuma ya pazia kuna matajiri wanawatumia watu wenye hali kama hizi (wapo radhi kufanya lolote wapate hela) kama sehemu ya starehe. Kuna mdadda mmoja alikuwa anasimulia wanaenda kwenye nchi fulani, wananunua wanawake kwa dao lolote unalotaka kwa muda, kisha wanavua nguo. Watawafanyia wanavyotaka kwa muda fulani waliokubaliana wanawalipa hela.
Season 2 ya alice in boderland ishatoka kitambo na ni kali mbayaSema season 2 hajatoaa, ila niliona posters kuwa wameanza kushoot ila inaeleweka vyemaa sanaa
Netnaija season 2 tayari ipoSeason 2 ya alice in boderland ishatoka kitambo na ni kali mbaya
Netnaija ipoNetnaija season 2 tayari ipo