Must see Movies

Must see Movies

Jaman mimi movie za ki gangstar zimenishinda kbsa hizi za gangs of London, king of harlam na mayor of kingstone..
 
Nilikuwa nafuatilia series ya mwaka jana inaitwa "1899". Hii series ina story nzuri sana ya kufikirisha lakini nilipofika episode ya pili nikaona scene ya ushoga. Nikaishia hapohapo nikafuta na episode zote mbili ila bila ushoga series ilikuwa inaelekea kuwa tamu. Siku hizi Netflix wanapenda sana LGBT sijui shida nini. Bahati mbaya Hadi Wakorea nao wanaonesha huu ushenzi katikati ya muvi zao kama Project Wolf au series zao kali kama Squid Game.

Nikaona sio mbaya, nimeona kila mtu anaisifia Cobra Kai ingawa imefika season 4 sijui 5 na mimi nikaamua nianze nayo Season 1 na season 4 nitaifikia muda sio mrefu, maana episode zake zina MB chache sana halafu episode moja ni nusu saa tu. Huu mzigo binafsi nimeuelewa. Naendelea nao sasahivi. Hao 1899 wabaki na ushoga wao.

Squid game ushoga wapi? au yule mbaba alivyotaka apigwe bj na yule kaka? Wameonesha uhalisia wanayoyatenda huko sehemu za starehe kuna mijibaba inapenda vijana wadogo wawalawiti lakini mbona hawajaonesha zaidi
 
Squid game ushoga wapi? au yule mbaba alivyotaka apigwe bj na yule kaka? Wameonesha uhalisia wanayoyatenda huko sehemu za starehe kuna mijibaba inapenda vijana wadogo wawalawiti lakini mbona hawajaonesha zaidi
Hapohapo palinichefua [emoji1784][emoji1784]
 
Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
Yaaan episode nzima inaelezea mapenzi ya jinsia moja... Ilinichefua sana!
 
nikikosa cha kuangalia siku ntaiangalia..
mana hata episode ya kwanza sikumaliza
Duh... bora ukose series zote lakini sio Squid Game aisee, hujitendei haki kwa kweli
Screenshot_20230303-221444.jpg
 
Back
Top Bottom