Must see Movies

Kwa wale wanaopenda movie za kihindi kuna movie kali sana hazina mapigano bali ni Mystery tu
1. Dishyram
2. Rahasya
3. Section 375
4. Dishyram 2
5. Ittefaq

Nitaendelea
 
Squid game ni best. Allice in boarderland imekaa kitoto sana sikuielewa kbsa. Nimeangalia season 1 sikutaka hata kuendelea nayo ila Squid game inanipa mzuka, yule jamaa baada ya kuhairisha safari ataenda kufanya nini?
Mwana alirudi tena kucheza dili lilelile tena la hela
 
mimi kuna hizi The Gang Of London na GangLand nilijikakamua kuzitazama kwasababu nilikiwa nimedownloa HD, ila toka zitoke season 2 zake na ninasikia niza moto [emoji91][emoji91] sijazicheck na hazipo kwenye watchlist yangu kwa kweli.
 
Sure talk.
 
Nimeangalia episode mbili za Alice in Borderland ni nzuri, sasahivi naingia ya tatu
Lakini kwa kusema ni nzuri kuliko Squid Game hapana. Ina uzuri wake sikatai, ila Squid Game ni moto aisee[emoji91][emoji91]
Ngoja niendelee nione, ila mpaka hapa Squid Game itengwe
 
ile scene mwenye project wolf hunting ilinichefua sana
Na THE OLD GUARD kumbe yale majamaa mawili yanakulana mwishoni yanakiss
nilichefukwa
 
Kaangalie aliance the border land, series kali kuliko squid game
Squid Game yenyewe sijawahi kuiona na hata mpango sina[emoji1][emoji1] hizi movie zinazo trend sana huwa zinanikataga sana mood
Hata wakanda ilinichukuaga miaka 2 ndio nikaiangalia..
SQUID GAME
LA CASA DE PAPEL
GAME OF THRONE
Empire

Nakosaga mood kabisa
 
Take your time princess ariana afu hii haijatrend hovyo hovyo bali ni utaalamu waliotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…