Must see Movies

Mrejesho
Series ya Alice in Borderland nimeiangalia lakini nafuatilia taratibu sana, ndio kwanza nipo episode 6 kwa sababu pia nafuatilia series ya Cobra Kai ambayo nimefika season 3 ingawa nilianza Alhamisi jioni.
Alice in Borderland ni kali lakini bado haijafikia Squid Game kwa mtazamo wangu. Uzuri zote mbili ninazo naweza kuzilinganisha
Kwa wale wanapenda series zenye real life situation na visa vya kuvutia bado ninarecommend Cobra Kai. Hii series ndio inafanya speed yangu ya kufuatilia mambo mengine iwe slow. Ijumaa nimeangalia Season 1, Jumamosi season 2 Leo naanza 3. MB zake ni chache sana kwa sababu kila episode ni nusu saa tu
 
Sure
 
mi matarajio huwa sinaga
ile kile kitendo cha kutrend sana ndio kinanifanya nione movie kama lakuchumpa, yani kwamba kila mtu kaiona [emoji1][emoji1] napenda kuangalia Movie flani za kipekee au hazijaonwa ooonwa na kila mtu.

Wakanda mpya nmeona iko poa sana tu kwa upande wangu..
Hizi movie zenye mitiririko kama John wick, captain amerca huwa kila mtu anayo anayoiona bora..
kwa mfano; Captain america kwangu mimi winter Soldier ni bora kuliko movie zote zenye mtiririko wa captain america
kwahiyo Kwa baadhi ya watu wakanda ya kwanza ni nzuri sana , wengine hii mpya kwahiyo we angalia mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…