Must see Movies

Must see Movies

All done ngoja nitafute muda sasa nizicheck
Screenshot_2023-03-05-11-02-07-30_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Mrejesho
Series ya Alice in Borderland nimeiangalia lakini nafuatilia taratibu sana, ndio kwanza nipo episode 6 kwa sababu pia nafuatilia series ya Cobra Kai ambayo nimefika season 3 ingawa nilianza Alhamisi jioni.
Alice in Borderland ni kali lakini bado haijafikia Squid Game kwa mtazamo wangu. Uzuri zote mbili ninazo naweza kuzilinganisha
Screenshot_20230305-125946.jpg
Screenshot_20230305-130003.jpg

Kwa wale wanapenda series zenye real life situation na visa vya kuvutia bado ninarecommend Cobra Kai. Hii series ndio inafanya speed yangu ya kufuatilia mambo mengine iwe slow. Ijumaa nimeangalia Season 1, Jumamosi season 2 Leo naanza 3. MB zake ni chache sana kwa sababu kila episode ni nusu saa tu
Screenshot_20230305-130018.jpg
 
kuna vitu adimu
Peaky blinders ni kundi la wafanya biashara tuseme haramu ambao wamebase mji wa Birmingham linaloongozwa na Thomas Shelby na aunt yao pamoja na familia ya Shelbys..
Thomas anapambana sana na makundi mengine ili Kufanikisha legacy ya familia pia kwa ajili ya maisha
Thomas anatumia akili sana ni kama Genius, ni mtu hayumbishwi, Family First na mpambanaji sana hakubali kushindwa jambo analoliamini..
Yote kwa yote ni katika kujaribu ku survive katika kipindi kile nchi ilipokua na magenge mengi baada ya England kutoka vitani France
Sure
 
Mimi sasa ndio huwa sishawishiki na Filamu zinazoshika vichwa vya habari mfano tu hiyo GAME OF THRONES mpaka Leo hata trailer tu sijawahi fuatilia.
Black Panther ya kwanza nimeiona mwaka Jana, tena baada ya mdogo angu kuja nayo Ghetto alikuwa anatizama, hii ya Pili nilikuwa nina mpango nayo ila baada ya Introsagvert kusema kuna Character wana mabawa miguuni nishapuuzia [emoji23].

Ujue Filamu kama hizo zinaumiza moyo sana unapokuwa ushajiandaa kwamba nacheck bonge la filamu, ila unachoenda kukutana nacho ni tofauti na ulichosimuliwa yani ni zile filamu zinapakwa asali nyingi kama Lugha za vijana wa Dar es salaam [emoji1787][emoji23].
mi matarajio huwa sinaga
ile kile kitendo cha kutrend sana ndio kinanifanya nione movie kama lakuchumpa, yani kwamba kila mtu kaiona [emoji1][emoji1] napenda kuangalia Movie flani za kipekee au hazijaonwa ooonwa na kila mtu.

Wakanda mpya nmeona iko poa sana tu kwa upande wangu..
Hizi movie zenye mitiririko kama John wick, captain amerca huwa kila mtu anayo anayoiona bora..
kwa mfano; Captain america kwangu mimi winter Soldier ni bora kuliko movie zote zenye mtiririko wa captain america
kwahiyo Kwa baadhi ya watu wakanda ya kwanza ni nzuri sana , wengine hii mpya kwahiyo we angalia mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom