James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
No no no...ni ya kawaida.Imetulia sana
Nice movie.Give me feedback please.
Tumia VlcAisee inakuwaje movie nilizodownload from netnaija kupitia simu hazi play ktk PC? Shida ni PC au ni nini?
Nakubaliana na wewe, jamaa ni kati ya wazee wachache ambao bado wanafanya kazi nzuriNice movie.
Huyo jamaa haaribu movie nadhani mawakala wake kawapa mazingatio maalumu. Just thinking
Mkuu hicho kitonga Cha vpn ??, Au bando[emoji2957]
Episode 1 ilinivutia sana, ila kadri nilivyozidi kwenda mbele nikaona inazidi kunichosha, nikaishia episode 6.Alice in borderland inaboa sana yaani. Nimeshusha season 1 yote.
Episode 1 ilinivutia sana, ila kadri nilivyozidi kwenda mbele nikaona inazidi kunichosha, nikaishia episode 6.
Kuanzia Ijumaa nikaanza kufuatilia Cobra Kai. Nikawa nashusha one season everyday. Ijumaa season 1, Jumamosi season 2, jumapili season 3 Leo nimemaliza season 4 na sasahivi naanza season 5.
Ila Alice in Borderland na Squid Game, hapo Squid Game ndio kali zaidi
Mkuu usii judge series kwa episode moja tu.. Alice in the border land ni Nzuri, ukianza kuulinganisha sjui na squid game utaiona mbaya... Concentrate kwenye storySquid Game raia hawapigi porojo sana kule kwenye Alice ni upuuzi tu yaani maelezo mengi alafu inaboa sana, nimeshusha season 2 episode ya 1 yaani inachosha kweli
Mkuu usii judge series kwa episode moja tu.. Alice in the border land ni Nzuri, ukianza kuulinganisha sjui na squid game utaiona mbaya... Concentrate kwenye story
Hizi mambo yaani zimeshika hatamu sana ktk movies mpaka inakera.tehran epsode ya 3 tu mibaba inakulana mate nmechefukwaa
afu nilidhani labda itakua na maajabu sana ila mpaka ep ya 5 naona kawaidaa mpka nmeichoka
Tehran nimeangalia muda hivi kuna hayo mambo maana mimi sikuyaonatehran epsode ya 3 tu mibaba inakulana mate nmechefukwaa
afu nilidhani labda itakua na maajabu sana ila mpaka ep ya 5 naona kawaidaa mpka nmeichoka
Unamaanisha huyu jamaa auHizi mambo yaani zimeshika hatamu sana ktk movies mpaka inakera.
Niliangalia woman king...pamoja ni African originated movie na mambo hayo hayakuwepo au kuzungumzwa. Lakini ktk ile movie wakaamur wamuweke mwanamume aliyekama mwanamke ili mradi tu agenda yao ifikiwe. Sad.
Eggxatly what I said hahaaUnamaanisha huyu jamaa auView attachment 2540414
Nilisha solve. Nili unstalll nika install upyaTumia Vlc
Sipingani na unachokisema hapa. Game of throne kila nikipanga kuitazama napata uvivu labda kwa sababu kuna harufu ya hizi muvi za watu wenye mabawa miguuni ππππMimi sasa ndio huwa sishawishiki na Filamu zinazoshika vichwa vya habari mfano tu hiyo GAME OF THRONES mpaka Leo hata trailer tu sijawahi fuatilia.
Black Panther ya kwanza nimeiona mwaka Jana, tena baada ya mdogo angu kuja nayo Ghetto alikuwa anatizama, hii ya Pili nilikuwa nina mpango nayo ila baada ya Introsagvert kusema kuna Character wana mabawa miguuni nishapuuzia [emoji23].
Ujue Filamu kama hizo zinaumiza moyo sana unapokuwa ushajiandaa kwamba nacheck bonge la filamu, ila unachoenda kukutana nacho ni tofauti na ulichosimuliwa yani ni zile filamu zinapakwa asali nyingi kama Lugha za vijana wa Dar es salaam [emoji1787][emoji23].
Mibaba inamwagiana mate midomoni πππ hiyo series niliishia season1tehran epsode ya 3 tu mibaba inakulana mate nmechefukwaa
afu nilidhani labda itakua na maajabu sana ila mpaka ep ya 5 naona kawaidaa mpka nmeichoka