Must see Movies

Must see Movies

Alice in borderland inaboa sana yaani. Nimeshusha season 1 yote.
Episode 1 ilinivutia sana, ila kadri nilivyozidi kwenda mbele nikaona inazidi kunichosha, nikaishia episode 6.
Kuanzia Ijumaa nikaanza kufuatilia Cobra Kai. Nikawa nashusha one season everyday. Ijumaa season 1, Jumamosi season 2, jumapili season 3 Leo nimemaliza season 4 na sasahivi naanza season 5.
Ila Alice in Borderland na Squid Game, hapo Squid Game ndio kali zaidi
 
Squid Game raia hawapigi porojo sana kule kwenye Alice ni upuuzi tu yaani maelezo mengi alafu inaboa sana, nimeshusha season 2 episode ya 1 yaani inachosha kweli

Mkuu usii judge series kwa episode moja tu.. Alice in the border land ni Nzuri, ukianza kuulinganisha sjui na squid game utaiona mbaya... Concentrate kwenye story
 
tehran epsode ya 3 tu mibaba inakulana mate nmechefukwaa

afu nilidhani labda itakua na maajabu sana ila mpaka ep ya 5 naona kawaidaa mpka nmeichoka
 
Mkuu nimeshusha season ya 1 yote kisha nikaunganisha season 2 kwa episode 1
Mkuu usii judge series kwa episode moja tu.. Alice in the border land ni Nzuri, ukianza kuulinganisha sjui na squid game utaiona mbaya... Concentrate kwenye story
 
tehran epsode ya 3 tu mibaba inakulana mate nmechefukwaa

afu nilidhani labda itakua na maajabu sana ila mpaka ep ya 5 naona kawaidaa mpka nmeichoka
Hizi mambo yaani zimeshika hatamu sana ktk movies mpaka inakera.
Niliangalia woman king...pamoja ni African originated movie na mambo hayo hayakuwepo au kuzungumzwa. Lakini ktk ile movie wakaamur wamuweke mwanamume aliyekama mwanamke ili mradi tu agenda yao ifikiwe. Sad.
 
Unamaanisha huyu jamaa au
Screenshot_20230307-123818.jpg
 
Mimi sasa ndio huwa sishawishiki na Filamu zinazoshika vichwa vya habari mfano tu hiyo GAME OF THRONES mpaka Leo hata trailer tu sijawahi fuatilia.
Black Panther ya kwanza nimeiona mwaka Jana, tena baada ya mdogo angu kuja nayo Ghetto alikuwa anatizama, hii ya Pili nilikuwa nina mpango nayo ila baada ya Introsagvert kusema kuna Character wana mabawa miguuni nishapuuzia [emoji23].

Ujue Filamu kama hizo zinaumiza moyo sana unapokuwa ushajiandaa kwamba nacheck bonge la filamu, ila unachoenda kukutana nacho ni tofauti na ulichosimuliwa yani ni zile filamu zinapakwa asali nyingi kama Lugha za vijana wa Dar es salaam [emoji1787][emoji23].
Sipingani na unachokisema hapa. Game of throne kila nikipanga kuitazama napata uvivu labda kwa sababu kuna harufu ya hizi muvi za watu wenye mabawa miguuni 😁😁😁😁
 
tehran epsode ya 3 tu mibaba inakulana mate nmechefukwaa

afu nilidhani labda itakua na maajabu sana ila mpaka ep ya 5 naona kawaidaa mpka nmeichoka
Mibaba inamwagiana mate midomoni 😁😁😁 hiyo series niliishia season1
 
Back
Top Bottom