Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ile funguo aliinya[emoji16][emoji16]. Ila mimi walivyokuwa nje ya gereza, bwana Brad Bellick ndio alikuwa ananifurahisha. Kumbe askari muoga muoga tu mtoto wa mama . Nilicheka sana pale walipokuwa wanatoroka gerezani, akawa anamuuliza Agent Mahone "Don't shoot" in Spanish inatamkwaje, incase mambo yakiharibika aweze hata kujitetea asipigwe risasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa muoga kinoma kuna mahali Tbag alimchana anaishi na bimkubwa wake alimind kinoma
Ile filamu siwezi kuja kuifuta. Nawaekea na wanangu waje waione [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa muoga kinoma kuna mahali Tbag alimchana anaishi na bimkubwa wake alimind kinoma
Akili kubwa sana mule ndani Mahone vs ScofieldIle filamu siwezi kuja kuifuta. Nawaekea na wanangu waje waione [emoji28]
Hivi yule mwamba ni upinde kweli au ndio stunts tu za mitandaoniAkili kubwa sana mule ndani Mahone vs Scofield
Hii ya sasa haina maajabu.Angalia "Texas Chainsaw Massacre". Hii ina MB chache sana ila kuna jamaa anaua watu ovyo ovyo tu kwa kutumia chainsaw, nyundo, visu na kadhalika. Kuna scene naipenda sana huyo jamaa aliingia kwenye basi na chainsaw yake akaanza kufanya mambo sasa, ni full damu tu, anakata watu kama ng'ombe. Wanajaribu kuomba msaada pa kutokea hakuna [emoji28][emoji28]View attachment 2550254
Nimeipenda hasa upande wa comedy, Jason na timu yake wanafanya mission kama hawako serious hivi.Operation Fortune niliisibiri kwa hamu..naona story ipo sawa sema action zimepunguzwa sana tofauti na matatajio..labda mwendelezo utakuwa mzuri.
Guy Ritchie naona anaanza kunizingua yaani hadi sound track ya operation Fortune kaimodoa kutoka ktk Wrath of a man ambayo ni movie yake ya mwisho kabla hii ya Fortune
Upinde asee nilisikia aliwahi kiriHivi yule mwamba ni upinde kweli au ndio stunts tu za mitandaoni
Mwamba ni bwabwa na ameshasema kama movie haina role ya mashoga yeye hawezi kuigizaHivi yule mwamba ni upinde kweli au ndio stunts tu za mitandaoni
[emoji706][emoji706][emoji706]kila kizuri akikosi ubayaMwamba ni bwabwa na ameshasema kama movie haina role ya mashoga yeye hawezi kuigiza
Bro kama mliipenda squid game, Basi kaiangalieni na allice in the border land. Ni ya wajapan aisee ni [emoji91][emoji91].
Hi ilitoka kabla ya dquid game, aisee jamaa wanajua, afu pia story ni kali sanaa Living Pablo Introsagvert, Mafian cartel James Comey
View attachment 2534717
"What Happened To Monday?" Kama Bado hujaangalia hyo itafute.
Terrifier 2
Kuna yeyote ameiona hii muvi?View attachment 2549174
Alice in the Borderland ina underatiwa ila ni bonge la series [emoji1430]
Umeidownload site ipi mkuuWahindi wapo vizuri sana kweny movie za kutumia akili
Unahitaji movie gani mkuu??Umeidownload site ipi mkuu
Series ya the bureauUnahitaji movie gani mkuu??
Ya 2009 au 2015??Series ya the bureau
2015Ya 2009 au 2015??
2015