Must see Movies

Must see Movies

[emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa muoga kinoma kuna mahali Tbag alimchana anaishi na bimkubwa wake alimind kinoma
 
[emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa muoga kinoma kuna mahali Tbag alimchana anaishi na bimkubwa wake alimind kinoma
Ile funguo aliinya[emoji16][emoji16]. Ila mimi walivyokuwa nje ya gereza, bwana Brad Bellick ndio alikuwa ananifurahisha. Kumbe askari muoga muoga tu mtoto wa mama . Nilicheka sana pale walipokuwa wanatoroka gerezani, akawa anamuuliza Agent Mahone "Don't shoot" in Spanish inatamkwaje, incase mambo yakiharibika aweze hata kujitetea asipigwe risasi[emoji23][emoji23]
Screenshot_20230314-232158.jpg
 
Angalia "Texas Chainsaw Massacre". Hii ina MB chache sana ila kuna jamaa anaua watu ovyo ovyo tu kwa kutumia chainsaw, nyundo, visu na kadhalika. Kuna scene naipenda sana huyo jamaa aliingia kwenye basi na chainsaw yake akaanza kufanya mambo sasa, ni full damu tu, anakata watu kama ng'ombe. Wanajaribu kuomba msaada pa kutokea hakuna [emoji28][emoji28]View attachment 2550254
Hii ya sasa haina maajabu.
 
Operation Fortune niliisibiri kwa hamu..naona story ipo sawa sema action zimepunguzwa sana tofauti na matatajio..labda mwendelezo utakuwa mzuri.
Guy Ritchie naona anaanza kunizingua yaani hadi sound track ya operation Fortune kaimodoa kutoka ktk Wrath of a man ambayo ni movie yake ya mwisho kabla hii ya Fortune
Nimeipenda hasa upande wa comedy, Jason na timu yake wanafanya mission kama hawako serious hivi.
Mwishoni anaambiwa arudishe vito alivyoiba Serikali inavitaka,jibu lake nilicheka sana.
 
Terrifier 2
Kuna yeyote ameiona hii muvi?View attachment 2549174
 
 
Back
Top Bottom