Mkuu jouneGwalu, Gravity inafanya vizuri sana kwenye box office kuliko mategemeo ya 'movie analysts'. The success of this movie is through word of mouth. Captain Phillips based on true story nayo ni bomba sana, also watch out "the counselor" to be released on November 1, 2013 IMO it is among the best movies of 2013.
[
Kafanana na actor wa kihindi....
Anaitwaje? Amitabh Bachchan? ππ
Hahahahaha una vituko wewe wafananisha nyau na panya sasa...
Anaitwaje? Amitabh Bachchan? ππ
Hahahahaha una vituko wewe wafananisha nyau na panya sasa...
Mhhhhh! LOL!!! sasa nyau ndio nani na panya ndio nani kati ya hawa wawili....nishahisi unaelekea wapi lakini ngoja nikuache kwanza utamke nani ni nyau na nani ni panya kati ya hawa wawili.
Nooo i mean wewe umekosea kufananiza...nambie wewe ulifkiri naelekea wapi?
Mhhhhh! LOL!!! sasa nyau ndio nani na panya ndio nani kati ya hawa wawili....nishahisi unaelekea wapi lakini ngoja nikuache kwanza utamke nani ni nyau na nani ni panya kati ya hawa wawili.
Nooo i mean wewe umekosea kufananiza...
Mkuu jouneGwalu, Gravity inafanya vizuri sana kwenye box office kuliko mategemeo ya 'movie analysts'. The success of this movie is through word of mouth. Captain Phillips based on true story nayo ni bomba sana, also watch out "the counselor" to be released on November 1, 2013 IMO it is among the best movies of 2013.
Yah mi ni member wa IMDB, so kule huwa napata daily update kuhusu mavituz kama haya....
Gravity nilianza kuisubiri toka sept mwishoni.... Ila premier yake huku bongo naona haikuwa na mshawasha sana.... Theater tulikuwa wachache sio kama Furious 6 au Dark Knight Rises ya mwaka jana.....
Dah hizo zingine nazisubiria torrent tu nitazi-download tu.
BAK special thanks kwa rep adding, nimekusoma bro!
Kuna kitu kingine chenye title ya "Last Vegas" chenye wakali waliokula chumvi nyingi.
Mkuu jouneGwalu hiyo Last Vegas sijapata bahati ya kuiona, ila nimeiona the counselor wala usipoteze muda wako kuna mauaji ya ajabu ajabu halafu story yenyewe imekaa kushoto kushoto sijui imekuwaje Hollywood's big powers Brad Pitt, Cameron Diaz na Penelope Cruz wamekubali kuwemo kwenye movie hii. Trailer yake wameitengeneza vizuri sana ila movie haina mvuto kabisa. Captain Phillips which is based on true story ni nzuri sana, Wasomali waliocheza pamoja na kuwa ilikuwa ni mara yao ya kwanza kucheza movie lakini wamecheza vizuri sana.
Yaani Brad Pitt sijui kimempata nini, hii movie ya pili mtu ananikataza kupoteza mda nisiiiangalie.
Ilitangulia Killing Them Softly ya mwaka jana, nayo kuna mdau alinambia kuwa ni mbaya kweli...
Hata ukiangalia Wolrd War Z, sio kali kiviile kwa viwango vya Brad Pit tuliyemzoea.
Sijui anazeeka au ndio bahati mbaya.... Bado hajarudi yule Brad Pit wa Troy!!
Nikimsikia na kumuona Tom Hanks huwa namkumbuka BelindaJacob lol
Vipi bro lakini umeichek Rear Window??
Fanya uipate hiyo aisee.
Nipo besti BAK & jouneGwalu. Majukumu tu yamenitinga plus x-mas preps. Captain Philips ndiyo naicheki wikiend hii. Mie na Hanks dam dam.. Wikend njema!!
Pole na majukumu BelindaJacob, enjoy Captain Phillips but please make sure your watch this movie before ##.00pm ππСанкт-Петербург's time on Sunday...I mean before the game otherwise you won't be able to enjoy a single minute in the movie theatre lol!!!!
Hebu mutuwache tupumue na Arsenal yetu, kesho tutawapumuliaje kisogoni hao MU wenu!.He he.. BAK get ready for tomorrow, nitafurahi tuwarekebisheπ mie ntanuna au ntanuniwa (shem wako ni arsenal damu) acha tu...!! Till kesho jamvini, keep well.
He he.. BAK get ready for tomorrow, nitafurahi tuwarekebisheπ mie ntanuna au ntanuniwa (shem wako ni arsenal damu) acha tu...!! Till kesho jamvini, keep well.
leo nimefanikiwa kui-watch hii homefront, niliipenda ingawa baadae ilikuwa na kuuana kwingi.....
leo nimefanikiwa kui-watch hii homefront, niliipenda ingawa baadae ilikuwa na kuuana kwingi.....
nimewatch pia Black Nativity, hii ndo niliipenda saana