Must see Movies

Must see Movies

Anaitwaje? Amitabh Bachchan? 🙂🙂

Mkuu jouneGwalu, Gravity inafanya vizuri sana kwenye box office kuliko mategemeo ya 'movie analysts'. The success of this movie is through word of mouth. Captain Phillips based on true story nayo ni bomba sana, also watch out "the counselor" to be released on November 1, 2013 IMO it is among the best movies of 2013.

[

Kafanana na actor wa kihindi....
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! LOL!!! sasa nyau ndio nani na panya ndio nani kati ya hawa wawili....nishahisi unaelekea wapi lakini ngoja nikuache kwanza utamke nani ni nyau na nani ni panya kati ya hawa wawili.

Anaitwaje? Amitabh Bachchan? 🙂🙂

Hahahahaha una vituko wewe wafananisha nyau na panya sasa...
 
Mhhhhh! LOL!!! sasa nyau ndio nani na panya ndio nani kati ya hawa wawili....nishahisi unaelekea wapi lakini ngoja nikuache kwanza utamke nani ni nyau na nani ni panya kati ya hawa wawili.

Nooo i mean wewe umekosea kufananiza...nambie wewe ulifkiri naelekea wapi?
 
Hilo nimekuelewa, ila nikauliza swali ni nani panya na nani nyau katika hawa wawili!? Usikwepe swali langu banaaa lol!!!

Mhhhhh! LOL!!! sasa nyau ndio nani na panya ndio nani kati ya hawa wawili....nishahisi unaelekea wapi lakini ngoja nikuache kwanza utamke nani ni nyau na nani ni panya kati ya hawa wawili.

Nooo i mean wewe umekosea kufananiza...
 
Hilo nimekuelewa, ila nikauliza swali ni nani panya na nani nyau katika hawa wawili!? Usikwepe swali langu banaaa lol!!!

Sitaki ugomvi na wewe BAK...byeee
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu jouneGwalu, Gravity inafanya vizuri sana kwenye box office kuliko mategemeo ya 'movie analysts'. The success of this movie is through word of mouth. Captain Phillips based on true story nayo ni bomba sana, also watch out "the counselor" to be released on November 1, 2013 IMO it is among the best movies of 2013.

Yah mi ni member wa IMDB, so kule huwa napata daily update kuhusu mavituz kama haya....

Gravity nilianza kuisubiri toka sept mwishoni.... Ila premier yake huku bongo naona haikuwa na mshawasha sana.... Theater tulikuwa wachache sio kama Furious 6 au Dark Knight Rises ya mwaka jana.....

Dah hizo zingine nazisubiria torrent tu nitazi-download tu.
BAK special thanks kwa rep adding, nimekusoma bro!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
You're welcome Bro...Kuna mavituz mengine jamaa wa Hollywood wakiyatengeneza unataka yasiishe LOL! unataka movie iendelee tu...Kuna kitu kingine chenye title ya "Last Vegas" chenye wakali waliokula chumvi nyingi. Hii inaelekea itakuwa inachekesha sana na yenyewe inaanza rasmi leo. My special greetings to your loved ones Mkuu.

Have a great weekend 🙂🙂

Yah mi ni member wa IMDB, so kule huwa napata daily update kuhusu mavituz kama haya....

Gravity nilianza kuisubiri toka sept mwishoni.... Ila premier yake huku bongo naona haikuwa na mshawasha sana.... Theater tulikuwa wachache sio kama Furious 6 au Dark Knight Rises ya mwaka jana.....

Dah hizo zingine nazisubiria torrent tu nitazi-download tu.
BAK special thanks kwa rep adding, nimekusoma bro!
 
Kuna kitu kingine chenye title ya "Last Vegas" chenye wakali waliokula chumvi nyingi.

B p4VAz4AqACAAAAAElFTkSuQmCC
B p4VAz4AqACAAAAAElFTkSuQmCC

Kitu yenyewe si hiyo hapo bro??

Naona tayari imeingia kwenye box office...

The cover it self tells alot! Hebu tupate time tuiangalie then tuje kujadili lol.....

Nimeichek synopsis yake tu (Three sixty-something friends take a break from their day-to-day lives to throw a bachelor party in Las Vegas for their last remaining single pal.) Hata sijui niwaze nini, mate yananitoka hahahahaha!

pia kwa mujibu wa review za wakongwe nasikia inafurahisha sana!

Week end ilikuwa poa, nilikuwa nachek movie ya Rear Window (1954), ilikuwa haatri sana, hollywood wameanza ubishi kitambo aisee....!
Kama hujaichek itafute bro, hautojuta.

Kila la heri bro.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu jouneGwalu hiyo Last Vegas sijapata bahati ya kuiona, ila nimeiona the counselor wala usipoteze muda wako kuna mauaji ya ajabu ajabu halafu story yenyewe imekaa kushoto kushoto sijui imekuwaje Hollywood's big powers Brad Pitt, Cameron Diaz na Penelope Cruz wamekubali kuwemo kwenye movie hii. Trailer yake wameitengeneza vizuri sana ila movie haina mvuto kabisa. Captain Phillips which is based on true story ni nzuri sana, Wasomali waliocheza pamoja na kuwa ilikuwa ni mara yao ya kwanza kucheza movie lakini wamecheza vizuri sana.
 
Yaani Brad Pitt sijui kimempata nini, hii movie ya pili mtu ananikataza kupoteza mda nisiiiangalie.

Ilitangulia Killing Them Softly ya mwaka jana, nayo kuna mdau alinambia kuwa ni mbaya kweli...

Hata ukiangalia Wolrd War Z, sio kali kiviile kwa viwango vya Brad Pit tuliyemzoea.

Sijui anazeeka au ndio bahati mbaya.... Bado hajarudi yule Brad Pit wa Troy!!

Nikimsikia na kumuona Tom Hanks huwa namkumbuka BelindaJacob lol

Vipi bro lakini umeichek Rear Window??

Fanya uipate hiyo aisee.
 
Last edited by a moderator:
Labda kaamua kukusanya michuzi bila kujali ubora wa movie, si unajua sasa hivi ana familia ya watoto watano!? 🙂🙂 ni bora ajizatiti kinamna. #Killing them softly nayo ilikuwa bomu ikafuata #Word War Z nayo nikaikwepa na sasa hii, hlafu niliingia saa mbaya bora hata ningeamua kulala au kutafuta movie kwenye library yangu na kuangalia home au kushangaa shangaa mtandaoni 🙂🙂 BelindaJacob kasusa siku hizi kupita mtaa huu labda kishaanza shopping ya X-mas 🙂🙂.....Haya Mkuu nakutakia siku na kazi njema

Yaani Brad Pitt sijui kimempata nini, hii movie ya pili mtu ananikataza kupoteza mda nisiiiangalie.

Ilitangulia Killing Them Softly ya mwaka jana, nayo kuna mdau alinambia kuwa ni mbaya kweli...

Hata ukiangalia Wolrd War Z, sio kali kiviile kwa viwango vya Brad Pit tuliyemzoea.

Sijui anazeeka au ndio bahati mbaya.... Bado hajarudi yule Brad Pit wa Troy!!

Nikimsikia na kumuona Tom Hanks huwa namkumbuka BelindaJacob lol

Vipi bro lakini umeichek Rear Window??

Fanya uipate hiyo aisee.
 
Last edited by a moderator:
Nipo besti BAK & jouneGwalu. Majukumu tu yamenitinga plus x-mas preps. Captain Philips ndiyo naicheki wikiend hii. Mie na Hanks dam dam.. Wikend njema!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole na majukumu BelindaJacob, enjoy Captain Phillips but please make sure your watch this movie before ##.00pm 🙂🙂Санкт-Петербург's time on Sunday...I mean before the game otherwise you won't be able to enjoy a single minute in the movie theatre lol!!!!

He he.. BAK get ready for tomorrow, nitafurahi tuwarekebishe🙂 mie ntanuna au ntanuniwa (shem wako ni arsenal damu) acha tu...!! Till kesho jamvini, keep well.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
He he.. BAK get ready for tomorrow, nitafurahi tuwarekebishe🙂 mie ntanuna au ntanuniwa (shem wako ni arsenal damu) acha tu...!! Till kesho jamvini, keep well.
Hebu mutuwache tupumue na Arsenal yetu, kesho tutawapumuliaje kisogoni hao MU wenu!.
 
I am ready best, Arsenal 3 MANU 2....It is time to convert BJ so as to be on the same side with your sweetlove...tukifungwa wote mnakuwa na majonzi mnaliwazana 🙂🙂 na tukishinda basi furaha tele ndani ya nyumba wewe na mupenzi 🙂🙂 halafu ujue una damu ya Arsenal weye sijui kwanini ulipotea na kuamua kwenda huko. Kesho tukishawachapa na kujikusanyia 3 points itakuwa ni wakati muafaka wa wewe kusilimu rasmi na kuvaa jezi ya Arsenal halafu itakavyokupendeza wee!!!!! hahahahaha....

He he.. BAK get ready for tomorrow, nitafurahi tuwarekebishe🙂 mie ntanuna au ntanuniwa (shem wako ni arsenal damu) acha tu...!! Till kesho jamvini, keep well.
 
leo nimefanikiwa kui-watch hii homefront, niliipenda ingawa baadae ilikuwa na kuuana kwingi.....
nimewatch pia Black Nativity, hii ndo niliipenda saana
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli hiyo home front ilikuwa na mauaji mengi sana ila nilipenda jinsi ilivyoisha. Jason Statham movie zake ni kali sana. Hii Black nativity naifatutia muda nikaione nimeona trailer nikaipenda sana. Pia usikose kuiona Mandela's long walk to freedom, Mwingereza Idrissa Elba ameicheza vizuri sana.

Back
Top Bottom