Must see Movies

Must see Movies

1682195499128.jpg
 
Muvi ya sikukuu ya idd sijaipata kabisa mpo kimya
 
9 june 2023
Bloody dad inatoka unyama unyama humo
 
mimi kwa sasa naona wakorea wanatisha zaidi kwenye upande wa mazombi
Muvi za zombies za Korea ni nzuri kuliko hat za Marekani
USA nawakubali kwa movies za mission na Action nyingine kama za magari n.k Ila kwa zombies Wakorea wapo vizuri sana
 
Nikishapata English subtitles kazi inakuwa imeisha sijisumbuagi na matamshi yao
Enjoy. Muvi inasikitisha kiasi fulani. Niliangalia na mrembo fulani nikashangaa anadondosha machozi
 
Back
Top Bottom