Must see Movies

Za sasa hivi kama zipi hebu nitajie
Mkuu mimi siangalii series ili kuifananisha na nyingine naangalia series ili kuinjoy hata nikikutajia series zangu utaziponda sabb wewe unaangalia series kwa kuzifananisha na 24,prison break nk
List yangu hii baadhi

Power ( universe yote)
BMF
Jack Ryan
Jack reacher
House of the dragon
Godfather of harlem
Squid game
Big mouth
The last of us
Terminal list
Stranger things
 
[emoji2][emoji2][emoji2]The last of Us imeshaisha hivi?

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Ryan
Reacher
Terminalist
Squid
Tuko pamoja
 
Kumbe "All of us are Dead" haipo kwenye list yako mkuu, hii series ndio nimeielewa Kwa 2022 yote
 
HAMESHAA (1997).

hawa ndo walikuwa wahindi

kwnye True-Life Drama

hawashikiki
 
HAMESHAA (1997).

hawa ndo walikuwa wahindi

kwnye True-Life Drama

hawashikikiView attachment 2608628
Siku hizi huwa natamani kuangalia Hollywood movies za before 2010 kama The Evil Dead 1982, Saw 2004, Day of the Dead 1985, A Nightmare on a Welm street 1984, The Texas Chainsaw Massacre 1974 n.k lakini website zangu za mchongo hazina old movies [emoji16][emoji16]
Hata Anime mpya kama Suzume sijui naipata wapi [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…