Inategemea unataka horror za aina zipi. Kuna mwingine Horror movies anamaanisha muvi zenye mambo ya uchawi au nguvu za giza ambazo hizi nazijua chache sana.
Ila horror nyingine ni hizi
Escape Room: the tournament of champions 2019 single movie
Hii ni Thriller na ni psychological horror Kwa sababu inahusisha screaming na panic among people
View attachment 2603453
Texas Chainsaw Massacre 2022 single movie
Hii ni Thriller na Horror. Inahusisha mauaji ya kikatili na damu nyingi. Sehemu kubwa ya mauaji hayo yamefanywa kwa kutumia Chainsaw
View attachment 2603455
Army of the Dead 2021 single movie
Hii ina action na horror. Inahusisha mission ya kwenda kuokoa kiasi cha pesa katika eneo la Vegas city ambalo limejaa zombies. Ina comedy pia
View attachment 2603458
Train to Busan 2016 single movie
Hii ni Action, Horror na Thriller. Inahusisha binadamu kubadilika na kuwa monsters ambao lengo lao ni moja tu; kumbadilisha kila mtu aliye hai kuwa kama wao, na Hali hii inasambaa kama tu kwenye movies nyingine za zombies, Kwa kung'atana.
Ugonjwa inasambaa kwenye train inayotoka Seoul kwenda Busan na watu wanataabika kujiokoa lakini mwisho wa siku kwenye train yote wanabaki survivers wawili tu
View attachment 2603460
All of us are Dead 2022 series
Hii ni Action, Horror na Thriller. Zombie outbreak inatokea katika Hyosan High school Kwa hiyo kundi la wanafunzi walionusurika kuwa mazombie wanataabika kutafuta namna ya kutoka nje ya eneo la shule hiyo ambayo imejaa zombies kila kona
View attachment 2603462
Scream 2022 single movie
Hii ni Horror na Thriller. Inahusu mauaji na mauaji mengi ni ya kuchomwa na kisu
View attachment 2603464