Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Au kwa kuwa star ni mwanamke 😁😁😁Nimetoka kuicheki ghosted pamoja na assassin club
Kiukweli ghosted ni ya kawaida sana mkuu bora assassin club wamejitahidi mnoo 🔥🔥
Muvi iko vizuri kuliko kupoteza muda kwenye avatar bora hiyo