Must see Movies

Mkuu ushaichek hii... Hapo naowaona wote ni wazee wa low budget movies. Yani nikionaga filamu zao huwa sitegemei maajabu kabisa

Bado sijaitazama...

Mimi ni movie maniac, low budget huwa natazama especially ikiwa ina wakongwe niliowakubali zamani...
 
Jamaa ametisha sana japo nilitamani kuona action za yule mniga aliyekuwa mwalimu wake kwenye matrix
 
Katika uhalisia, kufanya mauaji ya aina hii ni lazima uwe na tatizo la kiakili kidogo.
 
tunasubil THE CONTINENTAL yule dada wakijapani sijui ataenda kumtafuta CAINE kama alivyomuahidi JOHN WICK au ataendelea mission zake nyingine
 
Katika uhalisia, kufanya mauaji ya aina hii ni lazima uwe na tatizo la kiakili kidogo.
Hata jamaa anayeua watu anaonekana ana matatizo ya akili[emoji1787][emoji1787]
Anaua halafu anacheka [emoji23][emoji23], dah muvi tamu sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…