Must see Movies

Must see Movies

Mkuu ushaichek hii... Hapo naowaona wote ni wazee wa low budget movies. Yani nikionaga filamu zao huwa sitegemei maajabu kabisa

Bado sijaitazama...

Mimi ni movie maniac, low budget huwa natazama especially ikiwa ina wakongwe niliowakubali zamani...
 
Ok nimekupata
But SAW ni horror Ila ina umwagaji damu wa kutosha
kma ulizipenda saw basi hizi nazo utazipenda zaidi

tena ni sequel 2 tu ila storyline iko njema sanaaa

mauaji kma kma ya saw.
images(102).jpg
 
Jamaa ametisha sana japo nilitamani kuona action za yule mniga aliyekuwa mwalimu wake kwenye matrix
 
Terrifier 2
Kama unahitaji kuona muvi ya mauaji mabaya na ya kikatili basi angalia hii itakufaa.
Humu story yake ni ushuzi mtupu, jamaa anaua bila sababu za msingi Ila nimeipenda Sana
Haya ndio mauaji niliyotaka kuyaona kwenye movie [emoji23][emoji23]
Natamani Hollywood waendelee kutoa muvi nyingi za aina hii [emoji16][emoji16]View attachment 2631002
Katika uhalisia, kufanya mauaji ya aina hii ni lazima uwe na tatizo la kiakili kidogo.
 
tunasubil THE CONTINENTAL yule dada wakijapani sijui ataenda kumtafuta CAINE kama alivyomuahidi JOHN WICK au ataendelea mission zake nyingine
 
Katika uhalisia, kufanya mauaji ya aina hii ni lazima uwe na tatizo la kiakili kidogo.
Hata jamaa anayeua watu anaonekana ana matatizo ya akili[emoji1787][emoji1787]
Anaua halafu anacheka [emoji23][emoji23], dah muvi tamu sana hii
 
Back
Top Bottom