Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Atakosa mengi sana me Rate za IMDB sometimes nachukulia kama siasa za bongoKuna mdau ana relay kwenye number of ratings akiona ni chini ya 7 anasema muvi inaweza isiwe nzuri. Nikamwambia aendeleee hivyohivyo atakuwa anapishana na vitu vizuri.
Zipo mbili mimi napendelea zaidi hii hapa
View attachment 2634943
halafu movie nzima jamaa kaongea maneno kumi tu.Miongoni mwa movie kali ambazo nitakuwa nimeziangalia huu mwaka Susi ipo[emoji106]
Umeona wazungu walivyonoma uwezi kuamini kwamba yule bonge ndo Scott adkins, huku bongo JB anaigiza bonge tangu mtoto mpka anazeeka abadilikiWe have geniune conundrum[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mr Killa Han
Hiki kipande nimecheka sana.Umeona wazungu walivyonoma uwezi kuamini kwamba yule bonge ndo Scott adkins, huku bongo JB anaigiza bonge tangu mtoto mpka anazeeka abadiliki View attachment 2635440View attachment 2635442
Serious bro night agent ni kali sanaThe Night Agent
Hii series ni tamu sana. Kama haujaangalia fanya mpango uiangalie hata kama hupendi series, Hii utaipenda tuView attachment 2634580
John Wick Chapter 4 nimeipata kwa MB chache sana, bado kuiangalia tu. Sasahivi Niko na The Night Agent kwanzaView attachment 2634584
Hapo umewaunganisha na wakina James Bond au ???Mpaka sasa best neo -noir action movie ni franchise nzima ya john wick[emoji119]
[emoji16][emoji16]namimi nilitaka niseme hivyo hivyo, ile movie haina hata haja ya subtitles maana hata story hamna na sentence ni fupi fupi tu kutoa amri na kupokea amri!!halafu movie nzima jamaa kaongea maneno kumi tu.
Sio poa[emoji16]Umeona wazungu walivyonoma uwezi kuamini kwamba yule bonge ndo Scott adkins, huku bongo JB anaigiza bonge tangu mtoto mpka anazeeka abadiliki View attachment 2635440View attachment 2635442
Mimi hata nikiwa na mb 500 wazo la kwanza ni kuchungulia muvi gani ipo kwenye watch list yangu, naishusha chap no mara waaatSwala sio GB ngapi. Swala ni kuwa unapenda muvi? Kama jibu ni ndio huwezi kuwaza kuhusu MB. mission ya kwanza ni kupata muvi kwanza
Umeipata john wick kwa mb ngapi na wapi?The Night Agent
Hii series ni tamu sana. Kama haujaangalia fanya mpango uiangalie hata kama hupendi series, Hii utaipenda tuView attachment 2634580
John Wick Chapter 4 nimeipata kwa MB chache sana, bado kuiangalia tu. Sasahivi Niko na The Night Agent kwanzaView attachment 2634584
Torrents itakuwa na mb nyingi ila quality ya juu.Umeipata john wick kwa mb ngapi na wapi?
570MB tu, NetnaijaUmeipata john wick kwa mb ngapi na wapi?
Johnwick chpt4 muvi ina 2hrs na dakika za kutosha. Unaangalia saa moja unapozi baadae unaendelea full burudaniWadau nipeni muvi kali ya kuangalia ila isiwe ya drama. Nimezawadiwa 4Gb na Tigo
Tayar hiyo nshaikodolea✅Johnwick chpt4 muvi ina 2hrs na dakika za kutosha. Unaangalia saa moja unapozi baadae unaendelea full burudani
Chukua sasa series fupi ujipoze nayo wkendTayar hiyo nshaikodolea✅
Sisu✅
Ghosted✅
The mother✅
Covenant✅