kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,450
- 2,013
Ngoja nione hiyo The night agent. Binafsi natamani kuangalia series ambayo ipo vomplete, haya mambo ya kuangalia season 1 mwaka huu then unasubiri mpaka mwakani kuangalia season 2 huwa yananishinda sana. Raha ya muvi uangalie umalizane nayoChukua sasa series fupi ujipoze nayo wkend
The night agent
Citadel
Na wkend yako itaenda poa kabisa