Must see Movies

Chukua sasa series fupi ujipoze nayo wkend
The night agent
Citadel
Na wkend yako itaenda poa kabisa
Ngoja nione hiyo The night agent. Binafsi natamani kuangalia series ambayo ipo vomplete, haya mambo ya kuangalia season 1 mwaka huu then unasubiri mpaka mwakani kuangalia season 2 huwa yananishinda sana. Raha ya muvi uangalie umalizane nayo
 
The niht agent haitakuacha na alosto ya kusubiri szn2 wameimaliza vizuri tu
 
Ngoja nione hiyo The night agent. Binafsi natamani kuangalia series ambayo ipo vomplete, haya mambo ya kuangalia season 1 mwaka huu then unasubiri mpaka mwakani kuangalia season 2 huwa yananishinda sana. Raha ya muvi uangalie umalizane nayo
Na hii ndio sababu huwa sio mtu wa series, Labda iwe ishakamilika
 
Miaka inavyozidi kwenda inajidhihirisha kabisa hakutakuja kutokea muvi kali ya action kama hii tena
Especially Hollywood, hawatokuja kuleta kigongo kikali kama The Raid
 
hicho ndo CHUMA changu tangu dunia iumbweeeee mamaeeeeeeeeee

kwanza nishaitazama kma mara 1900

yaani nimekariri kila kilichopo kwenye

hadi upepo ukivuma najua movie iko wapi hta kma nimefumba macho

yule cyborg T-1000( Robert Patrick) ni HAKUNA TENA.
 
Na hii ndio sababu huwa sio mtu wa series, Labda iwe ishakamilika
Upo kama mimi, nilianza kuifuatilia Game of Throne baada ya kuona wametoa tangazo kwamba S08 ndo itakua ya mwisho. Nikasubiri tena mpaka walivyotoa realese date ya hiyo final season ndo nkaanza kuiangalia, by the time wanatoa ya mwisho nilikua s06 nikawa ni kutiririka nayo tu mpaka mwisho na niliinjoi sana
 
Au ikitoka episode moja leo nyingine mpaka week ijayo, huwa naona ikitimia yote namimi ndio nianze kuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…