Must see Movies

Hii JohnWick 4 kuna unapigwa mkono mpaka unaamua upause kwanza uheme[emoji28][emoji28]View attachment 2638710
Nimemiss action za The Raid
Kwenye John Wick 4 nimeona wametumia sana guns kuliko violent way ambayo naitaka [emoji23][emoji23] ila at least kwangu mimi ni best action movie kwa 2022 na 2023
Kwa jinsi Hollywood action movies zilivyo kwa sasa, John Wick 4 ni muvi kali sana
 
Rama movie zake kichapo kinachopatikana ni heavy kwelikweli mixer mtu kumwagwa dam
 

Kwa wale wapenzi wa Car Racing tu.
Tafuta movie inaitwa RUSH ya 2013. Ni story ya Kweli.

Ni bonge moja la Movie.
Ushauri.
Icheki akili ikiwa imetulia halafu Audio iwe nene.
 
Yani hapo sasa ndio movie inaonekana uongo mwingi. Mtu kipofu lakn anagawa dozi, anakwepa ngumi and everything [emoji16][emoji16].
Ila watu wamekula risasi na kugongwa na magari balaa 😁😁

Maneno ya mwisho ya hohn
John: Will you take me home? πŸ˜•πŸ˜Ÿ
Daddy: Yes.

Baadae linaonekana kaburi lenye jina la john.

Ndo tuseme hakuna mwendelezo wa johhn wk? Imeishia hapo au?

Vile vizee viwili viliulizana yupo peponi au jehanamu?
jibu likawa WHO KNOWS?
 
Muvi isipokuwa na muendelezo itakuwa haina maana
Yule demu ambaye faza ake aliuliwa na Donnie Yen Anataka kulipiza kisasi kwa Donnie kutokana na kifo cha mzee wake

Ile muvi haijaishia pale kaburini.
Baada ya maandishi yote kuisha kule mbele ilikuwa inaendelea
Wameonesha dem anatembea kwenye Street ya watu wengi halafu kwa mbali akamuona Donnie Yen akaanza kumfuatilia halafu alivyomkaribia akachomoa kisu then muvi ikaisha

So Kwa logic hii muvi yapaswa uendelee tuone kama yule dem atalipa kisasi (sijakariri jina lake) na je alifanikiwa kupambana na Donnie Yen mbele ya halaiki?
 
WAMESEMA JOHN WICK - CHAPTER 5 ITAKUWEPO.
 
Ila wanajua kutrngeneza mazingira ya kuvutia aisee. Ngazi za kuelekea kwa wazee wa the table pale mwisho zilipendezesha mandhari
 
Yani hapo sasa ndio movie inaonekana uongo mwingi. Mtu kipofu lakn anagawa dozi, anakwepa ngumi and everything [emoji16][emoji16].
JW4 uongo umezidishwa bora ata zile za mwanzo naanza kuamini mamovie yakiwa mengi wanaboronga mfano Fast and Furious
 
Muendelezo wa John Wick 5 utakuwepo mkuu. Maana kwa matukio jinsi yalivyo inaonekana bado kuna mambo hawajayamaliza kama yule binti na kisasi chaje na Donnie.
 
JW4 uongo umezidishwa bora ata zile za mwanzo naanza kuamini mamovie yakiwa mengi wanaboronga mfano Fast and Furious
Kwa kweli hata mimi ndio hofu yangu, maana kama saiv Donnie kipofu na anagawa dozi vizuri tu sasa huko kwenye 5 atakapokuwa anapambana na yule binti aliyemuulia baba yake si ndio zitakuwa kamba zenyewe?! Au watakuja kingine?! Movie ikishakua too unrealistic inakuwa sio kweli!!
Hebu tuone!!
 
Wese huoni mijini watu wenye uoni hafifu wanavuka barabara vizuri huku wale wenye macho mawili yanayo ona viziri wakiweweseka pindi wavukapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…